UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,366
- 7,713
Sasa wewe utapataje muda wa kugundua wakati muda wote unamtizama mzungu na kushangaa anavyogundua na kuvitaka?Tuache utani kabisa Mzungu ni binadamu pekee naona ana uwezo mkubwa sana katk utatuzi wa matatizo yake kuliko mwafrika... Mfano mzuri mwafrika anatumia mawe kusagia nafaka na anatumia nguvu nyingi hapo balaa,, mzungu kazi yake ni kugundua kitu cha kurahisisha kazi hiyo...