chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
bi shostee New Member
Joined:Jan 6, 2017
Joined:Jan 6, 2017
Wanatuaibisha bure wanawake tulio katika ndoa, na kuwatia kinyaa wanaume wanaotaka kuoaKuna vitu ambavyo anayejiita Mke wa Mtu hapaswi hata kuandika kwakuwa ni aibu.
Eti unashindwa umtege vipi (kweli wewe ni mke wa mtu)
Kwanini sasa ulikubali kuolewa na kaka mtu? Si ungeendelea tu kuponda maisha?
Unachokosa kwa mumeo ni nini, na ni mchezo gani huo?mungu tusaidie wanandoaMchezo mmoja ambao ni mgumu kufanya na mumeo obvious ni 'kuliwa choo'.
Mwanamke mpumbavu huaribu nyumba yake yeye mwenyewe. Pambana mkuu kuvunja vunja tofali zote, ikishuka chini uje na uzi tutakuchangia hela ya zege na misumari.
Wewe ni mwanamke muovu sana. Utampendaje shemeji yako.Namhurumia sana mume wako. Come back to your senses.Unachopanga kufanya ni usaliti mkubwa dhidi ya mumeo na unahatarisha ndoa yako.Kumbuka pia kwamba ni dhambi.Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Sasa likiliwa je?Una bahati sheria za JF zinazuia kumExpose mjumbe wa JF kwa lengo la kumchafua..!
Ningekuanika Juani Leo wewe..!
Ila naomba mpuuze hii ID..
Huyu ni mjumbe mzoefu tu! amekuja na ID mpya na wala sio jike, ni dume hili
world is.comming an end......mothers will.share bared love with their own young trees.Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Hakuleta mrejesho huyo sijui ilikuwaje labda alifanikiwa kumpa kichaa mzigo,dunia ina mambo sanaImenikumbusha yule aliyesema ameona dushe la kichaa limeshindikana kutoka kwenye fikra zake anatamani,daaaa!
Atakua alimgea na kanogewa hata mrejesho hakuleta,maana alikomalia kweli kwelHakuleta mrejesho huyo sijui ilikuwaje labda alifanikiwa kumpa kichaa mzigo,dunia ina mambo sana
Hata sijui mkuu ila anawakilisha wenye akili kama yakeValentina una uhakika huyu ni mwanamke lakini?
Shem mambo?Wanawake wengine shida tupu yani
Hakuna umuhimu wa kujua shem kwa nani,la msingi hujanizimia shem mimi?Poa tu mwaya...
Enhee shem kwa nani tena?