Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,240
Nahisi ni RichabaraBila shaka mtoa mada ni Amanda cute Dan Cooper
Nahisi ni RichabaraBila shaka mtoa mada ni Amanda cute Dan Cooper
Unasikia bro huwa nashindwa kuelewa lengo haswa ni nini?Una bahati sheria za JF zinazuia kumExpose mjumbe wa JF kwa lengo la kumchafua..!
Ningekuanika Juani Leo wewe..!
Ila naomba mpuuze hii ID..
Huyu ni mjumbe mzoefu tu! amekuja na ID mpya na wala sio jike, ni dume hili
Njoo KWANGU fasterMapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Sio wote kaka ni hawa ni wale wachache wanaopenda kuichafua sifa ya mwanamke.Wanawake mungu anawaona tukiwala wadogo zenu mnaita vikao ukoo mzima
Shubaaamit
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
Anatuzalilisha wanawake na mada za kipumbavu na ushetani.
WAKUU,
MSIJIPE SHIDA WALA KUPOTEZA MUDA!
HUYU SIO "KE",
NI "ME" MWENYE HOMONI ZA UPANDE WA UPILI!
Lengo lao nikuthibitisha uwepo wao katika jamii..Unasikia bro huwa nashindwa kuelewa lengo haswa ni nini?
Sio kwa style hiyo aiseee.Lengo lao nikuthibitisha uwepo wao katika jamii..
Nao pia tusiwasahau, wapo.
Et hawa Ndio wanalia daily wanaume hawataki kuoa Kha!!Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?