Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,426
- 7,803
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka.
Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa
Kawaida watu wa jinsia moja ndiyo hutawazana kama alivyofanya Bwana Yesu kwa wanafunzi wake. Wanawake hujiweka mbali na wanaume na mara nyingi huwekwa pazia kutenganisha jinsia hizo mbili.
Hata hivyo leo wanaume wameruhusiwa kuwaosha miguu wake zao na Wanawake wameruhusiwa kuwaosha miguu waumie zao.
Naomba kujua utaratibu huu umezingatia maandiko yapi hasa?
Wenye elimu mtupe elimu
Niwatakie siku njema
NIMEWEKA fungu husika:
3 Yesu, hali akijua ya kuwa Baba amempa vyote mikononi mwake, na ya kuwa alitoka kwa Mungu naye anakwenda kwa Mungu,
Yohana 13:3
4 aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.
Yohana 13:4
5 Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.
Yohana 13:5