Nimepigwa chabo na mama mwenye nyumba leo asubuhi

Umeona apo @ Evelyn..., iyo ni taarifa ambayo hawezi kuitoa...angeweka mambo wazi tu watu wazima wakamuelewa...! Under normal circumstance asingeona aibu kama angekua na dushelele la ukweli..!

Maadili yananikataza kutuma picha ya utupu.

Lakini ningekutumia, uone .

Mimi ni mfuga nyoka unga kwa jirani.
 
Katika hali nisio itarajia leo nimegongana uso kwa uso na mama mwenye nyumbawangu akiwa dirishani kwangu, bila shaka alikua akinipiga chabo.

Tukio hilo limenitokea mchana huu muda mchache niandikapo hapa.

Nilikua nimetoka kuoga tayari kwa kwenda kutembelea familia

Nikiwa katikati ya kupaka lotion nikiwa uchi kama nilivyo zaliwa ghafra niliona kivuli kikizama chini upande wa dirishani kwangu sikuwa nawasi kwakua hapa home hakuna tabia ya wizi, lkn nivyo kua naendelea nazoezi la kuchana nyele (nikiwa bado uchi) nilimshuhudia mama mwenye nyumba kupitia kwenye kioo akiwa kajibanza dirishani akinila chabo.

Nimefedheheka sana kwakua ninaimaimani kanichambua mwili wote hajaacha kitu.

Cha ajabu huyu mama ni mtu mwenye heshima na maadili mema hata watoto wake wanatabia nzuri sana.

Istoshe ni mlokole mzuri tu.

Hapa nilipo niko chumbani hata kutoka nje naona haibu.

Nafikiria kwenda kwa mjumbe kumpelekea malalamiko yangu lkn tatizo nikiamuliwa ni hame itakuaje?

Kuhama hama majumba nimechoka naona nawatajilisha madalali tu.

Dah! Haibu gani hii?
Usiende kwa njumbe we jifanye kama haujui nn kimetokea Ila akirudia mweke kitako na uumpe nasaha atukuelewa
 
Heading: Nimepigwa chabo na mama mwenye nyumba asubuhi
Content: tukio limetokea mchana huu.
 
Katika hali nisio itarajia leo nimegongana uso kwa uso na mama mwenye nyumbawangu akiwa dirishani kwangu, bila shaka alikua akinipiga chabo.

Tukio hilo limenitokea mchana huu muda mchache niandikapo hapa.

Nilikua nimetoka kuoga tayari kwa kwenda kutembelea familia

Nikiwa katikati ya kupaka lotion nikiwa uchi kama nilivyo zaliwa ghafra niliona kivuli kikizama chini upande wa dirishani kwangu sikuwa nawasi kwakua hapa home hakuna tabia ya wizi, lkn nivyo kua naendelea nazoezi la kuchana nyele (nikiwa bado uchi) nilimshuhudia mama mwenye nyumba kupitia kwenye kioo akiwa kajibanza dirishani akinila chabo.

Nimefedheheka sana kwakua ninaimaimani kanichambua mwili wote hajaacha kitu.

Cha ajabu huyu mama ni mtu mwenye heshima na maadili mema hata watoto wake wanatabia nzuri sana.

Istoshe ni mlokole mzuri tu.

Hapa nilipo niko chumbani hata kutoka nje naona haibu.

Nafikiria kwenda kwa mjumbe kumpelekea malalamiko yangu lkn tatizo nikiamuliwa ni hame itakuaje?

Kuhama hama majumba nimechoka naona nawatajilisha madalali tu.

Dah! Haibu gani hii?
Embu define chabo..!!
 
Mmh japo umechanganya asubh na mchana katika hii story yako bt ushauri midaa hii ya jione mtonye mwambie aje geto kwako mlambe kitumbua ikiwezekana maan huyo anaugwadu wa cku nyingi na inawezekan ikawa mwisho wako wa kulipa kodi
 
Aaaah aaha
 
kamwambie mjumbe huyo kavunja sheria kifungu cha husinichungulie mpaka tuchunguliane, mjumbe kwa mujibu wakifungu hicho atamwambia avue mchunguliane mbere ya mjumbe kwa hiyo mjumbe nae atafaidi, maana ndo marupu rupu ya wajumbe waccm hayo.
 
Kama kweli kakupiga chabo, ndo huyo unasema "ni mtu mwenye heshima na maadili mema halafu mlokole mzuri" au ulikuwa nn maana"ulidhani"!!
 
kuwa makini tu unapokuwa unajiandaa na jitahidi kumkwepa kwa kila aina ya ukaribu atakaotaka akuketee....kuhusu utu uzima wake na ulokole sio sababu ya kushangaa kukupiga chabo ye ni binadamu aliyekamilika kibaiolojia hivyo ana hisia pia. usiende kumshtaki kwa mjumbe maana atakuuliza uliniona lini utatoa maelezo yasiyo na ushahidi coz we ulimwona ila ye hakujua kama umemuona. usimshushie heshima yake ila mkwepe kiustaarabu
 
Back
Top Bottom