Hahaa aisee.Kwani kodi yako inaisha lini? Huenda anachungulia aone kama una matumaini na uwezo wa kulipa kodi nyingine...
uwiiii mbavu zangu mieee yaani humu nikisoma comments za watu najikuta ninachake hadi staff wenzangu wananiona nimepagawa
Mkuu fursa hiyo! teta nae vizuri pengine ikawa ndo mwisho wako wa kulipalipa hela za pango.... ila malinda yako yatetee kwa gharama yoyote likitokea la kutokea!
kwanini uone aibu? wewe toka tu nenda tu shughuli zako. kwani akikuchungulia amechukua nini au amepunguza nini! assume kuwa alikuwa sawa anavyoangalia picha kwenye kitabu au kwenye mtandao. uwe na amani