Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,470
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue.
Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi ya kupata makazi maana sina Social Insurance Number (SIN) na nasikia bila hiyo huwezi fanya chochote cha maana ila potelea mbali nyie nijuzeni mbinu zote mnazodhani zitanisaidia.
Pia kama unafahamu recruitment agency ambayo inaweza nipatia kazi bila kuwa na documents, usisite kunijuza, siamini kama huko hakuna dhambi hivyo njia za panya zitakuwepo tu.
Karibuni wadau mnaoishi huko.
NB: HATA MKINITISHA KUWA MAISHA NI MAGUMU NAKUJA, MBONA NYIE HAMRUDI?