The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,902
- 19,828
Acha ujinga. Mzee wa miaka 110 alimuua mkewe wa miaka 100 kwa kosa la kumnyima unyumba. Mzee akahisi mkewe atakua anachepuka why amnyime?
www.jamiiforums.com
Kula mbususu hadi utakapokufa.
Babu wa miaka 110 amuua mke wake kwa kisa cha kumnyima unyumba
#HABARI Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 110 kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 109 kwa kosa la kumnyima unyumba. Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa mkoa wa Rwizi Samson Kasasira, Mzee Dominic Babiiha anatuhumiwa...
Kula mbususu hadi utakapokufa.