Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,756
Naona umeamu kupitia njia nyingine maana hapo hapakuwa na sababu ya kuweka habari ya mapenzimkuu nikitaka mpenzi natangaza live kwani kuna shida?
Naona umeamu kupitia njia nyingine maana hapo hapakuwa na sababu ya kuweka habari ya mapenzimkuu nikitaka mpenzi natangaza live kwani kuna shida?
Ndio.. Tafuta kidume cha kukupigisha tizi...nitafute wazee wa majanga sio?
mazoezi nashindwa kabisaCo health hiyo kama unataka kupungua punguza kula fat(parachichi,na mafutamafuta)
Tena juice ya parachichi ni mbaya sana kwa unene
Pia mazoezi ni muhimu!!!
nikipunguza nitapata njaa bure nile mawaliPunguza pia kiasi cha juice unachokunywa, unaweza kunywa glass moja asubuhi na moja usiku, mchana ongeza unjwaji wa maji, litre mbili za maji kwa siku kama unaweza.
Anza kwa kutembea na ujiwekee target ya kuzidisha mwenda kila wiki. Unaweza kuanza kwa mwendo wa nusu saa, baada ya wiki moja unafanya 1 hour ect.mazoezi nashindwa kabisa
Believe me water therapy ni nzuri ni between meals.nikipunguza nitapata njaa bure nile mawali
Hacha matusi kiongozi.Ulafu mijanamke minene mipapuchi yao inakua na maji sana sijui kwanini yani haifai kabisa mijasho' minyamanyama yani ful kunuka tu' punguzen miunene hiyo ndomana mtu akiduu mara moja harudi tena.
Kwa hiyo kwa sasa umekuwa kipotabo fulani amazing?Sikuwa nimefika huko kwako, lakini tangia nimeacha kunywa pombe, na kukata vitu vya sukari, nimepungua sana. Ilikuwa inafika wakati unataka kutoka hakuna nguo inayokupendeza, unaishia kuvaa leggings na top yeyote ile, nikaona haya ni mateso.