Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

Mkuu hongera sana Nikifa MkeWangu Asiolewe
Pia Uzi mzuri sana lakini next time punguza kidogo kuwafokea hao vijana wa ovyo mana hawawezi elewa hao.

Mimi pia ni mkulima mzuri wa nyanya na ata sasa nimeanza kuvuna rasmi kuanzia juzi. Sasa changamoto kidogo kwangu ni soko hivyo naomba kama una contacts za watu wa uhakika wanaohitaji nyanya uniunganishe nao tuone tunafikia wapi.

Nalimia Tanga, na kwa maelezo zaidi tunaweza met dm bro!
+255 683 665 220 namba ya jamaa yupo sokoni chanika,mzigo wowote ulio nao wewe na wakulima wenzako mnaweza leta.kama mna supply ya uhakika
 
Kilimo bn 😄 nahekari nimelima ya bamia let me tell you zinaenda ozea shambani 😢 masoko hakuna kabisa
Screenshot_20241101_083044_WhatsAppBusiness.jpg
 
Kilimo bn 😄 nahekari nimelima ya bamia let me tell you zinaenda ozea shambani 😢 masoko hakuna kabisa
View attachment 3140501
Pole aisee ila hongera Kwa juhudi zako.

Kwa ushauri wangu kabla ya kuanza kilimo chochote kwanza tafiti masoko mwenyewe achana na Yale maneno soko lipo tu mkuu hayo yanapotosha maana ni maneno ya jumla lipo wapi bei ikoje ya kununua sokoni au shambani ni bamia aina gani inapendwa sokoni hutojua kbisa hongera Kwa juhudi pole Kwa hilo la ukosefu wa soko nalielewa maumivu yake
 
Azitunze tu atauza mbegu kwenye viwanda wanavyozalisha mbegu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom