Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.
Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.
Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.
Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.
Ungejibu ulichoni quote, labda ningeelewa kuhusu hiyo dira ya madawa ya kulevya. Kwasababu ungeniambia hiyo dira imesaidia kukamata madawa gani na watuhumiwa wapi. Hiyo ya sijui kuwalipa vijana kuhusu Bashite ni blahblah tu.Mtaelewa tu naona mnalipa vijana ili muipoteze dira ya madawa ya kulevya iwe vyeti vya bashite
Siburi basiUngejibu ulichoni quote, labda ningeelewa kuhusu hiyo dira ya madawa ya kulevya. Kwasababu ungeniambia hiyo dira imesaidia kukamata madawa gani na watuhumiwa wapi. Hiyo ya sijui kuwalipa vijana kuhusu Bashite ni blahblah tu.
Non senseMhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.
Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.
Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.
Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.
NiniKwa hiyo?
Jamaa ganiAtoe vyeti vyake tuvione...hapo atakua amekata mzizi wa fitina, huyo jamaa mwingine aache mipasho na vijembe mambo hayo awaachie watu wa pwani....
SizonjeJamaa gani
Soma efeso 6:10-12 vita ya kiroho haiishi na hakuna kutombana msamahaUkishaamua kuwa mtumishi wa Mungu mambo ya wewe kulipiza kisasi hakuna tena maana Biblia inasema kisasi ni kazi ya Mungu na mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia ndio dini inavyoelekeza, ukishakuwa kiongozi wa dini lazima uwe na uwezo wa kuhistamili mambo magumu
Swala la madawa ni hatari Tupo pamoja.Ila ya kwamba kuwa maskini au tajiri ni kudura za mwenezi Mungu na juhudi zako na nyongeza labda Bahati ila Hakuna mamlaka inayotajirisha watu Sana sana itakuwa imekutajirisha wewe.Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.