Nimegundua wauza 'ngada' sio watu wa mchezo mchezo

hakuna nayekula na kulala mbinguni wote tupo humu duniani na kila kitu lazima mtu apitie........so ukimlaumu huyo mchungaji haina maana coz vita ilielekezwa kwake naye lazima ajibu....kumbuka iliwahi kusemwa akupigae shavu hili mgeuzie na la pili..swali je akileta ngumi utakinga au nawe utajitetea?
 
Vyeti na madawa ya kulevya mbalimbali,BASHITE Atoe vyeti vyake vya FA FA FA
 
Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.

Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.

Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.

Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.

Mi nimegundua kwamba wauzaji na watumiaji Ngada na Poooda wanahamia UKWAWA.........wanamfuata DJ.
 
Mtaelewa tu naona mnalipa vijana ili muipoteze dira ya madawa ya kulevya iwe vyeti vya bashite
Ungejibu ulichoni quote, labda ningeelewa kuhusu hiyo dira ya madawa ya kulevya. Kwasababu ungeniambia hiyo dira imesaidia kukamata madawa gani na watuhumiwa wapi. Hiyo ya sijui kuwalipa vijana kuhusu Bashite ni blahblah tu.
 
Siburi basi
 
Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.

Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.

Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.

Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.
Non sense
 
Ukishaamua kuwa mtumishi wa Mungu mambo ya wewe kulipiza kisasi hakuna tena maana Biblia inasema kisasi ni kazi ya Mungu na mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia ndio dini inavyoelekeza, ukishakuwa kiongozi wa dini lazima uwe na uwezo wa kuhistamili mambo magumu
Soma efeso 6:10-12 vita ya kiroho haiishi na hakuna kutombana msamaha
 
Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa katika sherehe za kuwaapisha baadhi ya wateule wake pale Ikulu alisema kwamba wauza unga sio watu wa mchezo mchezo maana wanaweza kubadili hata sauti yako na wakasema ulisema hivi au vile wakati ukusema na wakatupa mitandaoni.

Nilikuwa sijamuelewa kipindi kile lakini kwa sasa naanza kumuelewa maana tangia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipoamua kupambana na watu hawa, wengine bila hata ya kujali wao ni viongozi wa dini, na kwa upande wa dini tunaambiwa tunatakiwa kusamehee saba mara sabini.

Sasa yeye yule kiongozi wa dini bila hata kujua na kukumbuka alipomsema mwenzie amekula maharage ya wapi, mara akavae pampasi lakini yule kiongozi mwenzie wa dini alikaa kimya na kusimamia maandiko ya kumsamee, sasa huyu kiongozi wa dini alieamua kupambana na na RC Makonda kuwa hana vyeti mbona wakati wa uhakiki akuleta hoja hiyo, hawa manabii wa uongo nadhani siku zao zimefikia mwisho.

Watu wengi humu tunamu attack sana mhe.RC Makonda ina maana katika mitaa yenu hamjawai kuona watu walioathilika na madawa? Napenda niwakumbushe kwamba Mamlaka ndio inayoamua nani awe tajiri na nani awe maskini, tusijaribu kupambana na mamlaka ni hatari sana kwa maisha yetu.
Swala la madawa ni hatari Tupo pamoja.Ila ya kwamba kuwa maskini au tajiri ni kudura za mwenezi Mungu na juhudi zako na nyongeza labda Bahati ila Hakuna mamlaka inayotajirisha watu Sana sana itakuwa imekutajirisha wewe.
 
Back
Top Bottom