mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,876
- 5,269
Siku zote tapeli ama muuza unga akikatiwa ulaji lazima atalalama na kuanzisha vita vya kijinga ili tu ashinde yeye. Kijana ama huyu mchungaji wa Ze Comedy anashangaa kwa nini serikali haimwachii aendelee kusambaratisha na kuua watu. Alidanganya watoto wa kaka yake kuwa atamfufua baba yao (kaka yake) toka mwaka jana, cha kushangaza mpaka leo bado anatafuta dawa ya kufufua marehemu kaka yake. Huyu mtu ni msanii sana, serikali isipoangalia na kumchukulia hatua ya haraka atakuja kusambaratisha watanzania wasio jitambua kwa kuliletea taifa hasara zaidi ya sasa.