Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,458
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni dada mrembo, maji ya kunde, tàko limenona, alivaa nguo fupi iliyo bana na kuonesha umbile lake la kuvutia, akakaa meza ya nyuma kabisa, kwenye meza hiyo walikuwepo wadada wengine wawili na mshkaji mmoja.
Nilifika kumsalimia na kumwomba akae sehemu ambayo staff wengine walikuwepo ila akaniambia hapa panatosha wala usijali, nikamshawishi akasema ngoja nipumzike kwanza ntakuja, nikamwambia au unamsubiri shem nini, akasema shemeji yako yuko safarini hatafika.
Basi bwana, nikaendelea na majukumu mengine ila kila wakati nilikuwa napita kwenye meza yake kuona kama kuna changamoto maana huyu dada ni mtu na nusu, yani tunaishi naye vizuri sana, ananipangia visafari vya hapa na pale hivyo nilitamani asipate bugudha.
Saa ya kucheza ikafika watu wakaanza kulisakata rumba mimi nikaenda mojakwamoja kwake, nikakuta anaendelea kupiga vyombo nikamtania njoo tucheze kidogo, akaniuliza unaweza? Nikamwambia mimi ni mtaalamu haswaa, kweli bwana akasimama tukaanza kucheza, nikajaribu kumshika kiuno nikaona katulia😂
Nikaanza kucheza naye mda mwingine namtomasa màtakô hata hanizuii, mara dj akakata muziki ghafla ili ratiba nyingine ziendelee🙄😐
Nikamwambia sister G nime enjoy sana company yako, akaniuliza kweli nikasema kabisa yani, akasema karibu nikamwambia ahsante nikaendelea na majukumu kama katibu.
Muda wa kula nilivyochukua chakula nikaja pale nikakuta mshkaji mwingine kakaa nikakaa meza ya jirani akanitumia sms "kaone kalivyo na wivu" mimi nikajibu kwa emoji hizi " 😂😂😂" nikamwambia sister G kumbe we ni mtamu hivi.
Akajibu ulinionja wapi, nikamwambia kipindi tunacheza nilihisi hivyo baada ya kukumbatiana. Akacheka kwa emoji akaniuliza utaondoka sangapi nikasema mpaka sherehe iishe.
Akaniambia mimi baada ya kula naondoka, nikamwambia usiondoke kabla hatuja agana akajibu poa. Kweli bwana baada ya kula kabla ya kuhitimisha DJ akaanza makeke yake, watu wakaanza kukata viuno, nikapokea sms nataka kutoka.
Nikaenda pale nikamshika mkono nikamvuta akajileta mzima mzima safari hii nikawa nyuma yake kama dunga dunga😂😂😂 akaniambia acha utundu unataka kula vya wakubwa eeh. Nikaanza kumtongoza huku tunacheza akaniambia acha hizo.
Baada ya kuona mwelekeo ni mzuri, nikamwita bwana mdogo nikamwachia funguo ili awarudishe wasindikizaji wa ma harusi sherehe itakapo kwisha, maana walitumia gari langu, mimi nikaagana na mwenyekiti wa kamati nikamwambia namsindikiza boss akasema atamaliza show.
Tukaondoka na gari ya boss nikamwambia tunaenda lodge akawa anacheka tu, nikaelekea upande mwingine nikaona hana tatizo tukaingia kwenye nyumba ya wageni, akasema tusikae sana nikamwambia haina tabu.
Aisee tulivyopata chumba tu tukaanza kukumbatiana, makiss, mtoto alijiachia sana, tukaanza kupelekeana moto, bao 2 fasta akasema tuondoke kesho nayo ni siku😂
Nikamsindikiza hadi kwake nikamwambia sijaridhika ujue, akasema hata wewe una deni langu huu ni mwanzo tu😂. Tukaagana mi ikabidi nitembee mpaka home maana ni karibu sana na kwake na usalama ni mkubwa.
Mpaka sasa nimelala natikisa tu mguu nasuburi kuona kama penzi ni kitovu cha uzembe au Edwin Semzaba alituzuga.