Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.

Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.

Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
Dah. Sahihi yako haiendani na ulichoandika. Ushauri ni kwamba kamuombe radhi tu yaishe.
 
iliwahi kunitokea hiyo ...
jamaa alitumia simu ya mkewe akaniuliza niko wapi .. sikujibu kwa kuwa hatukuwa na mazoea ya sms, tulikuwa tunapendelea yahoo messenger..
baadaye mke akanitumia ujumbe kwa simu nyingine kwamba nisipokee simu .... iko na Mr wake ..

hadi leo jamaa huwa ananipigia kwa namba tofauti na kuanza kunihoji napatikana wapi
Nawewe badili namba kabla mambo hayajageuka
 
Mi nilimtis mimba mke wa jamaa, yule dem akamwita bwana ake aje ili asingiziwe mimba maana walikuwa wanaishi sehem tofauti, jamaa kuja akashtukia mchezo ndo katafuta namba akanipata tukachat nikijua nachat na demu du, krsho yake dem ananambia alikuwa mumewe duuuuu
Nikatumia ubabe ws kikurya, ni mtu wa Mbeya, nikawatishia kuwachukulia hatua kikazi za kinidham kikazi, nikawatuma watu wakamtishie jamaa alitoweka kurudi mbeya, niliachana na huyo mdada, mimba walitoa ila sasa jamaa karudi tunaishi vizuri.
 
Kama anakifahamu nawe humjui hiyo shughuli, mwimbr demu akuonyeshe hata pivha la sivyo utafirwa muda wowote kuanzia sasa
 
Hyo ni dalili ya ukosefu wa yakufanya... badala wanawake muwaze vibati mnawaza migegedano,haya lako hilo linywe..
 
Back
Top Bottom