Taurus6
Senior Member
- Nov 5, 2015
- 172
- 94
Naona comment zenu zimekaa kiutata tu,kama vipi nimeahirisha,sijachat naye.
Hahaha we jipoteze tu...!
Naona comment zenu zimekaa kiutata tu,kama vipi nimeahirisha,sijachat naye.
hahaha! baada ya kunogewa uwa hawajali tena! hatariiiiHii iliwahi kunitokea, kuna wanawake wazembe sana na simu zao.
Bahati mbaya kwelikweli. Anza kutembea na mabodigadi mkuu, your days are numberedKimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.
Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.
Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
!
!
Anko siku hizi kuna kitu tunakii ta "code". Kwa hiyo ukihisi tofauti katika chatting unamuomba code hiyo. Akikosea tu au akichelewa kujibu unabadili stori ghafla. Sasa wewe unabyemelea vya watu kisorosoro hivyo? Sasa hapo ushalikoroga akikikukuta huyo jamaa ataku "Arafati ngumi jiwe" mbele ya halaiki. Hamia mkoani mkuu kama uko Daresalama.
Hivi unafikiria waume za watu hawana akili?. Code nini bana, mtu ana install tu program kwenye simu ya bibie. Kila anachokifanya kwenye hiyo simu kinaenda moja kwa moja kwenye inbox ya jamaa, sasa hapo atashindwa kuijua hiyo code?. Unajua nini, watu tu hawana mda wa kupoteza, lakini akiamua ni lazima tu akupate!.
!
!
Huyu alipewa security kulingana na tatizo lake. Kuna njia nyiiiiingi mno za kukwepa mitego kwani kila siku inazaliwa mipya. Mfano hiyo ya kupata kila kitu tunaweza kupiga kitu cha parallel na maujanja fulani? nakutania bana
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, au za mwizi ni Arobaini aisee!. Mtu atajiona yeye bingwa na mjanja kupindukia, lakini siku atakayovunjiwa yai sehemu, hahaaa!.
Ukikupata wafa. Ninakushauri badili namba ya Simu. Akifanya ujanja kidogo akishikisha machalii wa mtandao wa Simu yako utakamatwa kama kuku.iliwahi kunitokea hiyo ...
jamaa alitumia simu ya mkewe akaniuliza niko wapi .. sikujibu kwa kuwa hatukuwa na mazoea ya sms, tulikuwa tunapendelea yahoo messenger..
baadaye mke akanitumia ujumbe kwa simu nyingine kwamba nisipokee simu .... iko na Mr wake ..
hadi leo jamaa huwa ananipigia kwa namba tofauti na kuanza kunihoji napatikana wapi