Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,705
- 8,266
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu.
Wadau nimeguswa sana na tukio hili na kububujikwa na machozi ya shangwe kuona kuwa hata Watoto wetu wanatambua uwezo na mchango wa Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan
Mwanafunzi huyo akiwa na furaha kubwa usoni mwake alimueleza Rais Samia kuwa uwekezaji alioufanya ambao umehusisha ujenzi wa majengo mapya, ajira za walimu na ununuzi wa vifaa vya kufundishia umeboresha maisha yao mashuleni na umewapatia matumaini makubwa ya kufikia ndoto zao.
Wapendwa tokea aingie madarakani Jemedari wetu Mkuu amejenga shule mpya za msingi 1,649, na sekondari 1,042 nchi nzima.
Kama haitoshi kazi hii imekwenda sambamba na kuboresha mtaala na Sera ya Elimu ambayo ilizinduliwa rasmi Februari 1 mwaka huu.
Watanzania tuendelee kumuamini Mama Samia kwa kumpa ushirikiano, kumuunga mkono pamoja na kumpigia kura za kishindo kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025
2025 Samia anatosha