Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

Helicopter iliyokuwepo ,ya uokoaji mlima kilimanjaro,nimeiona mabaki yake huku mlimani!
Tukipanda tutaokolewa na Nini!
 
Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.

Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa na experience nzuri sana.

Katika safari hii, tutapata chance ya kuona scenery beautiful na mfumo wa ekolojia wa mlima. Hivyo, ni muhimu kuwa na spirit ya teamwork na ushirikiano.

Nawaomba mjitayarishe na tushiriki pamoja katika hii safari ya kipekee. Let's make unforgettable memories!
Hii safari mipango bado ipo?
 
Back
Top Bottom