Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

Status
Not open for further replies.
Kwani Mwinyi alipigwa makofi na Wakristo au Waislamu wenzake?

Ni nini kitatutenganisha na Kristo je,,,
1: Uchi
2: Njaa
3:Dhiki ?
Wew umefuata huko Uchi umeambiwa hutaoa bunti yao hadi Ubadili dini,, Otherwise sababu zako ni za mwanaume asie Rziki.
Huyu anaweza kuwa hajawahi kuwa mkristo anatupima tu
 
Usije ukajilipua tu kwa jina la allah, sijawahi ona mwislam msom kakumbatia dini, zaid ya wasoma juzuu wa la 7
Km haujawi ona muislam msomi kuupenda uislamu!!!wewe utakuwa sio wa dunia hii au ni punguani usieweza kutambua ,cjui hata prof hasadi au dr dau km ushawahi wasikia
 
Lowassa walimtukana na kusingizia, bado amewasamehe.
Hata hivyo, nilitegemea uhamie huko kwa sababu umeulewa uislamu na siyo kumwangalia mtu wa dini hiyo.
Akija kutenda jambo baya utafanyaje?
Jifunze misingi ya dini na hadithi/mafundisho ya Mudy
 
Mbona sioni connection ya wewe Kufundisha shule ya Kiislamu na kuamua kuingia uislamu ? Hujaeleza una kiwango gani cha elimu pamoja na umri, lakini kwa hii story yako inaonyesha kabisa bado hukumaliza ile hatua ya kufuta ujinga.No wonder shule nyingi za kiislamu zina matokeo mabaya kwa sababu wewe ni mfano halisi wa aina ya walimu wanaofundisha shule hizo. So unajiunga na uislamu kwa sababu Mzee Mwinyi alimsamehe yule aliyempiga kofi na Sheikh Ponda anapigania haki za wote??? Hao uliowataja ndo unawafuata kwenye uislamu? Nadhani hujawahi kuwa Mkristo wewe ! Ulikuwa hujitambui tu kwamba ulikuwa mkristo jina. Hujawahi kujazwa Roho Mtakatifu ndo maana unaweza kubadilisha dini kwa hoja dhaifu kama ulizotoa. Who knows, pengine kile kimshahara na viposho walivyokupa kwenye ile shule vilikuchanganya kichwa !!!
 
Mapovuuuu yanawatoka wananzengo ha ha ha ha

Liberty is a freedom to live as you wish
 
Hongera ndugu yangu uislamu ndiyo dini ya haki nami nilizaliwa ktk ukristo nilipopata akili nikatambua kuwa siko njia sahihi
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.

Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi

Nawasilisha jamani
Inawezekanaje kurudi kwenye dini yako uliyo nayo?au ulihasi? Story yako imeeleweka ilikuwa na lengo lipi lakini.
 
Umefanya uamuzi sahihi, hautajutia katika maisha yako, waislamu kwetu sisi amani ndio kitu kikubwa, japo wapo wachache wanaochafua uislamu ila jifunze vizuri uislamu nina kuhakikishia hautajuta na pengine ukawa balozi mzuri kwetu, Allah akufanyie wepesi In Sha Allah.
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.

Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi

Nawasilisha jamani
Hongera sana kwa uamuzi wako! Mimi pia nilikuwa kama wewe niliijua haki nikaipokea ninachokuusia pamoja na kuusia nafsi yangu fuata "UISLAM" Usifuate "WAISLAM".
 
Kubadili din in haki yako lakin hao uliowataja hawakamilishi uislam wala ukristu na kubadili din haimanishi utaingia pepon pambana kusoma kwa bidii vitabu vya mungu na tenda yaliyo mapenzi ya mungu utafika unakotaka achana na hao binadam
 
Profile ya uislam in a negative aspect inatokana na exposure ya uislamu wenyewe na sio media outcome.
Hapana, waislam wapo watu wakorofi na makatili kama walivyo katika jamii nyingine!
  • Anza karne ya 5 - 16: dola ya warumi ilitawala kwa mabavu na kuumiza watu ulimwenguni kote. ukuaji wa dola ya kirumi ktk karne hizo uliendana na ukuaji wa Imani ya kikristo. hawa hawapachikwi udhalimu kama mafundisho ya Imani yao.
  • karne ya 16 - 18: uvamizi wa maeneo mengi na mauaji makubwa ya wakoloni yaliongozwa na kanisa, na kanisa lilitumika Zaidi ktk kurubuni watu na kuendesha udhalimu mkubwa, hili halisemwi pia.
  • Katika Africa, Kibwetele aliua watu wengi sana kwa Imani za kidini, hakuna anayeweka records zake sawa.
  • Rwanda Genocide ilihasisiwa kanisani na sehemu kubwa ya waliokumbwa na maafa waliyapata madhabahuni - hili si sehemu ya record either.
  • kama kuna jasusi aliyepata kutokea na kusumbua dunia kwa mauaji mengi makubwa na ya kutisha hakuna kama Carlos (the jackal) huyu alikuwa mkristo na hadi anaanza ugaidi alikuwa ktk Imani yake, alibadili dini baadae kwa kutaka hifadhi ktk nchi za kiarabu akawa muislam.
  • ETA wa spain wanafanya matendo mengi ya ugaidi na hakuna anayetaja dini yao.
  • America - red Indians walisafishwa na settlers ambao ni Christians na hakuna kinachosemwa kuhusu dini yao.
  • marekani leo, kila siku mamia ya vijana wanauana kwa risasi na hakuna anayehusishwa na Imani yake isipokuwa akiwa muislam.
  • congo kuna vita leo na ni predominantly wakristo lkn hakuna anayehusisha na Imani yao.
  • Amerika ya kusini, bara Zima sio salama, lina ukahaba, madawa ya kulevya na uharamia ikiwemo ugaidi, vita vya misituni na utekaji nyara na wengi wao ni predominantly wakatoliki, lkn hakuna anayehusisha na dini zao.
kwanini waislam wamepata bahati mbaya, sijui lkn kuna waarabu ambao wana migogoro mingi ya ardhi for centuries dhidi ya wayahudi, warusi na wavamizi wengine wa ulaya, hawa wanaweza kuwa wanachangia kwa kiasi migogoro iliyopo na kuleta tafsiri hii kuwa waislam wote wako kama wao!
labda sababu ya technolojia kuwa duni, hii tabia ya kujitoa muhanga ilikuja (nadhani ukiwa kijana you will die anyway kwa mashambulizi ya wayahudi, so what is the use ya kuhofia kujitoa mhanga kama unaweza nawe kufa na yahudi 5-190 nadhani hii mentality ilizaliwa, sina uhakika).
Nchi za kiislam zilizokuwa na vita ni Iran na Faghanstan pekee. ila nchi zenye waarabu na waislam wengi zilizokuwa na vita ni Iraq, Syria, Libya, Sudan, Somalia, Palestine! na wote wamechochewa na US (taifa lenye wakristo wengi). lkn you don't see marekani akilaumiwa, huoni wakristo wakilaumiwa kwa uchochezi!
Its true wapo waislam wajinga wanao-intertain tabia ya vurugu na vita. ila pia wapo magaidi wanaojificha ktk uislam kwa kuwa ni wengi basi ni salama sana ukijitia unapambana holy war ili upate support!
 
Sio tu umehama dini! Umehama Mungu wa wakristo na unamwamini Mungu Wao. MUNGU WETU WAKRISTO SIO Mungu Wao ulionao sasa.
 
Krb mkuu ila ujue riba,kamari,pombe,nguruwe na mengi mengineyo ni haramu tena haraaaam....krb sana.
 
Ulikotoka kuna wema na wabaya, ulikoenda pia kuna wema na wabaya. Ishi ubinadamu na si kuishi dini
 
Tangu ujiunge juzi umeshafunzwa jinsi ya kufuga majini ? Je ushafahamu jinsi ya kujilipua ?
Umeahidiwa ndito ngapi ?
 
Wana bodi habari za usiku.

Mimi ni mkristo wa kuzaliwa na kubatizwa, mwaka 2000 nilipata kipaimara yangu kama taratibu za kanisa letu zilivyo.

Sitaki kuwachosha sana kuna mambo ambayo yamenivutia sana na kupelekea kuamini kuwa dini ya kiislam ni dini ya kweli. Mimi ni mzaliwa wa kaskazini tena kijijini haswa, nimezaliwa na mpaka naanza shule ya msingi na kumaliza elimu ya msingi nilikuwa sijui kama kuna uislamu duniani, nilipoanza form one ndiyo nikaanza kusikia kwenye kipindi cha dini kuwa kuna dini ya kiislamu, nimesoma mpaka namaliza chuo sikuweza kuamini kabisa kuwa waislamu nao ni wacha Mungu kama dini zingine.

Baada ya kutoka chuo nilipata mkataba wa kufundisha shule ya kiislamu form one na two (math) kwa mkataba wa miezi sita, shule hiyo walimu zaidi ya 90% tulikuwa wakristo na wanafunzi zaidi ya 75% walikuwa wakristo, walimu wa math tulikuwa wawili wote wakristo, mkataba wangu ulianza mwezi July lakini baada ya miezi 2 tulibadilishwa mimi nikaanza kufundisha form III – IV.

Baada ya kama miezi 3 BAKWATA(W) walianza kuhoji kwanini shule ni ya kiislamu lakini walimu wengi ni wakristo? Shehe wa (W) sitaki kumtaja maana mpaka sasa hajahama pale alituita ofisini kwake walimu wote na kutueleza madai ya BAKWATA lakini yeye akasema tufanye kazi bila tatizo na yupo tayari kututetea popote pale. Baada ya mkataba wangu kuisha Dec Shehe alinitaka niongeze mkataba pamoja na kuongezewa maslahi kitu ambacho sikutaka sababu lengo langu ilikuwa kupata mtaji wa kuanzia maisha na kujikita kwenye mambo mengine. Kwa heshima ya Shehe nilikubali kuendelea bila mkataba pindi wakipata mwalimu mwingine wa math mimi niondoke, nilikaa miezi 4 hatimaye mwalimu mwingine akapatikana lakini shehe akasema nisiondoke mpaka shule ikifungwa mwezi May. Muda wote huo nyumbani kwetu hawakujua nafanya nini sababu nilijua nikisema home mambo yatakuwa mengine kulingana na mtazamo wa home juu ya uislamu.

Nimejaribu kufikiria matendo ya hawa ndugu zetu waislamu ukilinganisha na wakristo wenzangu hakika naona waislamu ni watu wa haki sana kuliko sisi wakristo. Nitatoa mifano michache,

1. Mhe Mwinyi amewahi kuzabwa kibao mbele za watu akasamehe.

2. Mzee JK kama siyo yeye mimi na jamaa zangu huku kijijini tusigepata hiyo elimu kidogo tulionayo sababu wazazi wetu ni mafukara sana.

3. Mzee JK wapinzani walimtukana sana lakini aliwaita Ikulu wakakaa, wakanywa na kuongea.

4. Mzee JK Maaskofu walimsema lakini kwenye harambee ndiyo alikuwa anaziendeshaa bila kujali maneno yoyote.

5. Mzee JK aliteua mpinzani ambaye ni mkristo kuwa mbunge.

6. Mzee JK alimsaidia mama mmoja kumpeleka mtoto wake India alipata ajali ya bodaboda, mama huyu anasema siku moja akiwa India JK alienda kumsalimia yeye pamoja na Watanzania wengine, mama huyu ni jirani yangu huku kijijini kwetu.

7. Mzee JK tukio lolote lilipotokea alikuwa mstari wa mbele bila kujali hadhi yake.

8. Mhe Buhari na Macky Sall wameamua kumwondoa Rais wa Gambia ambaye ni muislamu mwenzao baada ya kuona anataka kudhulumu haki ya wananchi.

9. Shehe Ponda amekuwa akitetea maslahi ya watu wote bila kujali rangi wala dini zao.

Hayo ni machache kati ya mengi, nikiangalia matendo ya wakristo wenzangu(Kagame, Nkurunziza, Mseveni, Kabila, Mugabe, Askofu Mokiwa, Mzee wa upako n.k) mpaka nakata tamaa kabisa kwa matendo yao. Kumbe dini ni matendo na siyo maneno.

Mtanisamehe kwa uandishi usio na mpangilio mzuri sababu mimi siyo mtaalamu wa fani hii. Pia huu ni mtazamo wangu binafsi

Nawasilisha jamani
naona njia za kawaida za kuisifu imani yako zimeshindwa umeamua kutumia mihemko na maguvu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom