Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Arsis ana wanafunzi wake na mim kamai kijana ninaomba niwe mwanafunzi wake nijionee ya dunia..nipate maarifa and of course arsis si mtaalamu wa lugha? Sio mbaya na mimi nikajifunza something like "sole mio" "Adios amigo"😁 and so on,

Mimi naamini ni genius ni vile tu kukosa maarifa na shida ya usikivu kunanifanya nionekana wa hovyo but believe me when I sauy "naomba niwe mwanafunzi wako, please notice me"... Nipo chini ya miguu yako
 
ulifafanua kuhusu njia za kuwaita ndio ila nimeona njia zile zinafanyakazi kwa mtu aliye connected tayari na majini, Ndio nauliza ukitoa njia ya jinn catching na oujia board je kuna njia nyingine mtu ambaye hayupo connected na majini anaweza ita jini?
na nimeongeza swali hapo kuwa nilipata sikia mtu mwenye shida ya majini kuna vyakula akila au harufu za udi akinusa vinasababisha jini kupanda, Je ni kweli?
Ambae hayupo "connected". Kwanza uwe na sababu za kuwaita majini, kwa sababu elewa kua unawaita majini kinasibu (randomly) yaani ajae na aje. Unaweza kuwaita kwa kutumia kile kitendo walichofanya au tukio.

Mfano mtu kapandisha jini, hamumjui jini yupi, Unatafiuta sehemu tulivu, njia kama zile znilizoelezea mwanzo zinatumika, mahali pa kumuita jina unasema tu, wewe jini uliepanda kwa fulani, tukio fulani, njoo tuongee au tuonane.

Natoia tahadhari haoa, majini sio viumbe wa kuwaogopa, lakini wana vituko vingi sana, inategemea na "character" yake. Hili la "character yake, siku za usini mtaelewa namaanisha nini.

Nachelea sana kujibu kuhusu majini kwa sababu nafahamu, wengi wetu tuna picha iliyojijenga kwenye "arsh" zetu, isio na uhalisia. Picha tofauti kabisa na uhalisia.

Nawashauri tuendelee na kisa cha adam tutakutana na elimu ya majini kidogo kidogo, naamini mtakua na picha na mtazamo tofauti kabisa.

Kwa ufupi, mwite jini kama unavyomwita mtu yeyote yule siku zote. Na akija kama humjui, jitambulishe na yeye mtake ajitambulishe. Mara nyingi wao hujitambulisha kwa kua wanafahamu huwaoni au wanakuja kwa muonekano mwingine. Hakuna "complications" wala ugumu wowote, ni fikra zetu tu.

Hilo la vyakula na harufu, ni somo jingine, lipo kisaikollojia zaidi. Usilitilie sana maanani.
Simba.
 
Lidafo

Kwa kuongezea tu, ujue njia moja au mbili za kuwafukuza haraka majini wakorofi.
Simba.
 
Arsis hongera kwa uzi huu, nimekuwa nikiufatilia kwa makini na nimejifunza mengi sana ambayo sikuwa nayafahamu.
Ila nina shida ya kigugumizi kikali sana, na kazi yangu mara nyingi ni ya kuongea hivyo napata ugumu sana kuitekeleza, Je kwa kumshirikisha bakora naweza kupata dawa ya kuondoa tatizo langu?
Dawa ya kigugummizi ni ndogo sana. kama ni Muislam jifundishe "tajweed".

Kama si Muislam imba nyimbo za kumtukuza Mwenyezi mungu. kama huamini Mungu, imba tu upendavyo.
Simba.
 
Ambae hayupo "connected". Kwanza uwe na sababu za kuwaita majini, kwa sababu elewa kua unawaita majini kinasibu (randomly) yaani ajae na aje. Unaweza kuwaita kwa kutumia kile kitendo walichofanya au tukio.

Mfano mtu kapandisha jini, hamumjui jini yupi, Unatafiuta sehemu tulivu, njia kama zile znilizoelezea mwanzo zinatumika, mahali pa kumuita jina unasema tu, wewe jini uliepanda kwa fulani, tukio fulani, njoo tuongee au tuonane.

Natoia tahadhari haoa, majini sio viumbe wa kuwaogopa, lakini wana vituko vingi sana, inategemea na "character" yake. Hili la "character yake, siku za usini mtaelewa namaanisha nini.

Nachelea sana kujibu kuhusu majini kwa sababu nafahamu, wengi wetu tuna picha iliyojijenga kwenye "arsh" zetu, isio na uhalisia. Picha tofauti kabisa na uhalisia.

Nawashauri tuendelee na kisa cha adam tutakutana na elimu ya majini kidogo kidogo, naamini mtakua na picha na mtazamo tofauti kabisa.

Kwa ufupi, mwite jini kama unavyomwita mtu yeyote yule siku zote. Na akija kama humjui, jitambulishe na yeye mtake ajitambulishe. Mara nyingi wao hujitambulisha kwa kua wanafahamu huwaoni au wanakuja kwa muonekano mwingine. Hakuna "complications" wala ugumu wowote, ni fikra zetu tu.

Hilo la vyakula na harufu, ni somo jingine, lipo kisaikollojia zaidi. Usilitilie sana maanani.
Simba.
Yeah! Hapa sasa umenijibu swali langu kikamilifu kabisa hasa hapo uliposema muite kwa tukio alilofanya.
Shukrani
 
Lidafo

Kwa kuongezea tu, ujue njia moja au mbili za kuwafukuza haraka majini wakorofi.
Simba.
Hapa kwenye njia za kumfukuza jini mbaya
Mimi nafahamu quran ukisoma jini mbaya anakimbia hasa ayatul kursi.
Lakini pia ulisema disel ukimpaka mtu aliye pandisha jini anakimbia.
Kama kuna njia nyingine tuwekee simba.
 
Ambae hayupo "connected". Kwanza uwe na sababu za kuwaita majini, kwa sababu elewa kua unawaita majini kinasibu (randomly) yaani ajae na aje. Unaweza kuwaita kwa kutumia kile kitendo walichofanya au tukio.

Mfano mtu kapandisha jini, hamumjui jini yupi, Unatafiuta sehemu tulivu, njia kama zile znilizoelezea mwanzo zinatumika, mahali pa kumuita jina unasema tu, wewe jini uliepanda kwa fulani, tukio fulani, njoo tuongee au tuonane.

Natoia tahadhari haoa, majini sio viumbe wa kuwaogopa, lakini wana vituko vingi sana, inategemea na "character" yake. Hili la "character yake, siku za usini mtaelewa namaanisha nini.

Nachelea sana kujibu kuhusu majini kwa sababu nafahamu, wengi wetu tuna picha iliyojijenga kwenye "arsh" zetu, isio na uhalisia. Picha tofauti kabisa na uhalisia.

Nawashauri tuendelee na kisa cha adam tutakutana na elimu ya majini kidogo kidogo, naamini mtakua na picha na mtazamo tofauti kabisa.

Kwa ufupi, mwite jini kama unavyomwita mtu yeyote yule siku zote. Na akija kama humjui, jitambulishe na yeye mtake ajitambulishe. Mara nyingi wao hujitambulisha kwa kua wanafahamu huwaoni au wanakuja kwa muonekano mwingine. Hakuna "complications" wala ugumu wowote, ni fikra zetu tu.

Hilo la vyakula na harufu, ni somo jingine, lipo kisaikollojia zaidi. Usilitilie sana maanani.
Simba.
Kisa cha Adam jaribu kukileta kwa wingi kidogo, Japo najua kinahitaji utulivu Ila ongeza idadi ya episode kwa siku.
 
Kisa cha Adam 2.3

Baada ya kupitia "sarf" za maneno mbali mbali tumefikia tamati kua neno hilo halimaanishi mbu kwenye aya ya 26 na maana yake ni kama tulivoiweka kwenye ufafanuzi wetu juu hapo. Pia hakuna methali yoyote ya mbu au nyingine inayoongelewa hapo.

Pia naweza kusema hakuna hata mfano hapo bali kuna taarifa ya mbinu za ki qur’an zinazotumika Qur’an nzima. Ni tamko jema kutoka kwa Muumba wetu ambalo lipo mwanzo mwanzo wa Qur’an ili kutuongoza.

Neno "ma" liliopo kabla ya neno "baudh" ni la kukanusha, mfano mzuri na mwepesi kwa Kiarabu ni pale tunaposema nenpo "Fi" , maana hyake ipo. Na tukiiongezea "ma" kavbla ya "fi" inakua 'mafii" yaani 'hakuna.".

Cha kushangaza, sifahamu kwanini watafsiri walio wengi, kama si wote, hawakulitumia neno hilo katika tafsiri zao na mpaka wengine wamefikia kusema hilo ni neno la ziada. Hili tunaweza kulitolea ufafanuzi zaidi likiulizwa kipekee, kwani pia kuna baadhi ya watafsiri wamelipa maana nyingine.

Mimi naamini Qur’an haina neno au herufi ya ziada. Naamini kua kila neno au herufi iliotumika ndani ya Qur’an ina maana yake na sababu zake kamili kuwepo, labda iwe bado tu hatujajaaliwa kulijua. AlhamduliLlah sisi tumejaaliwa kuliona na kulitumia neno hilo na kufikia ufanunuzi tulioutoa wa aya hio.

Tukirudi juu hapo kwenye aya ya 27 inaweka wai kabisa kua hicho ni kikundi kimojawapo miongoni mwa vikundi vya Bani Israel, tafadhali rejea juu kidogo hapo tulipoweka ufafanuzi wa aya ya 27.

Natamani wasomaji waniulize kuhusu ahadi iliotajwa katika aya ya 27.

Kuna vitu muhimu sana vya kuvizungatia kabla hatujaendelea. Navyo ni kujionea wenyewe jinsi aya ya 26 na 27 zilivyoungana, yote yaliopo kwenye aya 26 ndio hayo hayo yanaendelea kuongelewa aya ya 27 na kuendelea. Qur’an tumesema ipo kama kiota, imeungana na kiushikana yote.

Tusifanye kosa la kama tunavyofanya wengi wetu, kufikia kutoa maamuzi ya aya fuani kuitengenisha na aya nyingine kabla hatujaielewa hata hio aya.

In shaa Allah tuendelee na aya ya 28 na tutajionea mambo yanaanza kua myepesi kila tunavyotumia mbinu ya kiota, kuunganisha ayat na sio kuziwachanisha.

...
Kisa cha Adam 2.4

Q 2:28

28. Vipi (baudha) mnamkufuru Allah na hali mlikuwa katika umauti (spiritually dead).كَيْفَ تَكْفُرُونَ بِٱللَّهِ وَكُنتُمْ أَمْوَٰتًۭا
Akakuhuisheni! Kisha atakurudisheni kwenye umauti, tena atakuhuisheni,فَأَحْيَـٰكُمْ ۖ ثُمَّ يُمِيتُكُمْ ثُمَّ يُحْيِيكُمْ
kisha kwake mtarejeshwa.ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ٢٨

Ufafanuzi wa Aya ya 28 ya Sūrah (2) Al-Baqara

Tunaweza kuelewa vipi kama wanaongelewa “Baudhatun”?

Tunaelewa kwa sababu kama tulivyoona aya ya 26 na 27 zimeelezea kuhusu makundi haya ya watu ambao wamegawanyika ndani yao, na wamo ambao husababisha matatizo na uadui na mgawanyiko ndani ya wengine. Ambao walijaribu kuuma na kuumiza (baudhatun) na kusababisha matatizo na ufisadi katika maandiko (ardh).

Pia ieleweke kua neno “ma” pia linatumika kama maji lakini kwenye Qur’an linatumika kuelezea kingine kabisa, tutakuja kuona Baadae, tutapofikia huko. Au kioevu (liquid) kwa Kiswahili cha kisasa (sanifu).

Unawezaje kujua (yaani Baudah) kumkataa Mwenyezi Mungu baada ya “kufa kiroho (kuingia kwenye umauti. Kama tulivyojionea tumetumia neno “umauti kwenye aya ya 28 badala ya neno kifo kama walivyotumia watafsiri wengine. Pia tumetumia neno “uhai au kuhuishwa” badala ya neno kufufuliwa. Kwa Sababu tunaamini ‘umauti”, sio kifo, ni kuinhgia katika hali nyingine, ambayo kuna kiuizi “barzak” baina ya umauti na uhai. Nafs ndio zinaingia kwenye umauti, mwili au kiwiliwili ndio hufa. Kwa hayo, ndiyo maana tunaamini kuwa kilichokusudiwa ni kundi hilo la Baudha liliingia kwenye umauti (spiritual death) kwa maana kundi hilo lilikuwa linafanya madhara badala ya kufanya mema walioletewa na Muumba wao.

Kwanini tunasema hao ni kundi la Bani Israil? Kwa sababu ukiisoma Qur’an utaona kua mtindo huo haupo hapo tu. Mfano aya namba 26 na 27 zimeanza kuelezea kwa ujumla wa jinsi badhatun walivyo lakini kufika aya 28 29 imeanza kuwaelezea moja kwa moja.

Naona tuingie aya ya 29 ili tupate uelewa mpana. Lakini hii tutaianza nikirudi tena, kwa kua kuna mapya ya kujifunza ambayo hayanabudi kuyawekea ufafanuzi mzuri kabisa.

Hii haimaanishi kuwa hizo aya zinatengana au nazitenganisha ni muda na wasaa tu wa kuweka mambo sawa.

Wanasema “mambo mazuri hayataki haraka”.

Simba.
 
In Shaa Allah tutatoboa. Nikimalliza kisa nitapitia upya kama kuna makosa ya kurekebisha hapa na pale nirekebishe. Na nyote humu mpo huru kihitilafiana nami, kunirekebisha, kuuliza, kushauri na kukosoa. Ninapoliona kosa naahidi kurekebisha.

Qur'an ni "software" ya ajabu, kila tunapozamia kina kirefu na yenyewe inaturekebisha tulipokosea.

Uzuri wa Qur'an imeungana kama kiota, unaweza kusoma aya moja ukaja kuielewa zaidi unaposoma nyingine kuleeeeee.
Mifano ni mingi, sitaki kuiingilia mada nyingine kwa sasa.
Simba.
Leta vitu, tutakuelewa. Elezea tu kwa kina.
 
Kisa cha Adam 2.2

Kwanza tulitazame neno hili Q 2:26 إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَسْتَحْىِۦٓ (A) “yastahyiy

Neno hilo pia tunalikuta kwenye Q 28:4 إِنَّ فِرْعَوْنَ عَلَا فِى ٱلْأَرْضِ وَجَعَلَ أَهْلَهَا شِيَعًۭا يَسْتَضْعِفُ طَآئِفَةًۭ مِّنْهُمْ يُذَبِّحُ أَبْنَآءَهُمْ وَيَسْتَحْىِۦ نِسَآءَهُمْ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلْمُفْسِدِينَ ٤

Kama mnavyojionea hapo kuna “skun” kwenye “ha” حْ. "Skun" au wengine wanaita "sakna”, pia kuna “kasra” chini ya Ya, hizo zinamaanisha kuna Ya (Y) nyingine baada ya "Ya" (Y) inayotamkwa. Na hivyo ndio jinsi inavyoonyeshwa na hivyo ndivyo inavyotamkwa “stahiyiy”. Kama kuna wataalamu wa tajweed wananisoma lazima waseme "ndio ukweli".

Hata sisi tunaweza kutafuta audio au video ya wataalamu wa tajweed kwenye YouTube au popote ukajisikilizia.

Sehemu ya kuvutia (interesting) ni kwamba tahajia (spelling) zipo sawa na inavyotamkwa ni sawa kwa aya hizo zote mbili, aya Q 2:26 na katika aya Q 28:4.

Tuzipitie tafsir tofauti hapa chini kwa ufupi, tujionee wenyewe;

Atabari alilitafsiri neno hilo “haogopi” kwenye Q2:26 na kwa upande wa Q28:4 akatafsiri “kuwaweka” (keeping)

...wanawake wao hai, hii ndio kama maana ya msingi iliyompa Zamakshari (hii ni tafsiri pia) alitumie neno sawa na “hayat” ambayo ni uhai au kuishi.

Nimeweka hayo kwa ufupi tu lakini ukipitia ukajisomea, utajionea karibia tafsiri zote zipo kwenye kuhitilafiana kwa maana ya hilo neno kutoka aya moja na nyingine.

In shaa Allah ikifikia wakati wa kuitafuta maana kamili ya 28.Surat Al-Qas'as' tutajionea maana kusudiwa ya aya hiyo/hizo.

Kwenye maana yetu sisi ya “la yastahyiy” tumesema; ... “hatafuti” ; Mwenyezi Mungu hatafuti kuleta ugumu katika Maisha...

Baada ya neno hilo, sasa tuendelee kupiga mbizi, vipi tumeipata maaana kamili ya hizo aya kwa kutumia mbinu za tafsil, kiota na ndimi “lisan” kwa maneno mengine;

Tutazame neno mbu ”baudha” بَعُوضَة(C), tutaona kabla ya neno hilo kuna neno “ma” مَّا. Neno “baudha”.

Neno “baudha” ili kulifanyia tafsil inabidi tuingie kwenye elimu ya lugha ya Kiarabu kidogo, tukilitamka peke yake kama lilivyo andikwa inabidi tulitamke “baudhatun” kwa kua mwishoni mwake lina herufi “Ta” iliofungwa (Ta marbuta) ة.

Kwenye lugha ya Kiarabu kuna elimu inayoitwa “elimu ya “Sarf”, Kingereza chake ni “morpheme”, katika elimu ya sarf tunajifunza kua kuna maneno “mzazi” (parent words” ambayo hayabadili maana ya neno yanapongezewa kionjo bali hubadili matumizi ya hilo neno. Mfano mdogo ni neno “faul”, nikisema “hamala” ambayo inamaanisha “kubeba” nikisema “Hamil” inakua ni mbebaji, sarf yake ni “fail”, mtendaji, yule anaebeba “hamil”. Nikisema “mahmoul” ambayo ni sarf ya “maf’ul” inamaanisha “amebebwa”,

Kwa ufupi ndio utamu wa vionjo (sarf) vya lugha ya Kiarabu.

Tukirudi kwenye neno letu “baudha” bila herufi ya "ta" iliofungwa, linakua ni “baudh”

...
Unaweza kutufahamisha zaidi kuhusu hiyo ta iliyofungwa na amabayo haijafungwa?
 
Kisa cha Adam 2.4

Q 2:28

28. Vipi (baudha) mnamkufuru Allah na hali mlikuwa katika umauti (spiritually dead).كَيْفَ تَكْفُرُونَ بِٱللَّهِ وَكُنتُمْ أَمْوَٰتًۭا
Akakuhuisheni! Kisha atakurudisheni kwenye umauti, tena atakuhuisheni,فَأَحْيَـٰكُمْ ۖ ثُمَّ يُمِيتُكُمْ ثُمَّ يُحْيِيكُمْ
kisha kwake mtarejeshwa.ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ٢٨

Ufafanuzi wa Aya ya 28 ya Sūrah (2) Al-Baqara

Tunaweza kuelewa vipi kama wanaongelewa “Baudhatun”?

Tunaelewa kwa sababu kama tulivyoona aya ya 26 na 27 zimeelezea kuhusu makundi haya ya watu ambao wamegawanyika ndani yao, na wamo ambao husababisha matatizo na uadui na mgawanyiko ndani ya wengine. Ambao walijaribu kuuma na kuumiza (baudhatun) na kusababisha matatizo na ufisadi katika maandiko (ardh).

Pia ieleweke kua neno “ma” pia linatumika kama maji lakini kwenye Qur’an linatumika kuelezea kingine kabisa, tutakuja kuona Baadae, tutapofikia huko. Au kioevu (liquid) kwa Kiswahili cha kisasa (sanifu).

Unawezaje kujua (yaani Baudah) kumkataa Mwenyezi Mungu baada ya “kufa kiroho (kuingia kwenye umauti. Kama tulivyojionea tumetumia neno “umauti kwenye aya ya 28 badala ya neno kifo kama walivyotumia watafsiri wengine. Pia tumetumia neno “uhai au kuhuishwa” badala ya neno kufufuliwa. Kwa Sababu tunaamini ‘umauti”, sio kifo, ni kuinhgia katika hali nyingine, ambayo kuna kiuizi “barzak” baina ya umauti na uhai. Nafs ndio zinaingia kwenye umauti, mwili au kiwiliwili ndio hufa. Kwa hayo, ndiyo maana tunaamini kuwa kilichokusudiwa ni kundi hilo la Baudha liliingia kwenye umauti (spiritual death) kwa maana kundi hilo lilikuwa linafanya madhara badala ya kufanya mema walioletewa na Muumba wao.

Kwanini tunasema hao ni kundi la Bani Israil? Kwa sababu ukiisoma Qur’an utaona kua mtindo huo haupo hapo tu. Mfano aya namba 26 na 27 zimeanza kuelezea kwa ujumla wa jinsi badhatun walivyo lakini kufika aya 28 29 imeanza kuwaelezea moja kwa moja.

Naona tuingie aya ya 29 ili tupate uelewa mpana. Lakini hii tutaianza nikirudi tena, kwa kua kuna mapya ya kujifunza ambayo hayanabudi kuyawekea ufafanuzi mzuri kabisa.

Hii haimaanishi kuwa hizo aya zinatengana au nazitenganisha ni muda na wasaa tu wa kuweka mambo sawa.

Wanasema “mambo mazuri hayataki haraka”.

Simba.

Kisa cha Adam 2.5

Nimepitia maoni, nimeona Lidafo kataka kisa cha Adam nikilete kwa wingi na FaizaFoxy anasema niende kwa kina zaidi.

Nitajitahidi kufanya yote hayo. Mnistahamilie tu.

Natumai mpaka sasa sasa tunaelewa kiasi jinsi Qur’an inavyotupa (bayyina) yaani mbinu kadhaa za kujibainisha yenyewe (Mubyin). Nasisitiza sana tuifahamu mbinu ya “tafsil”. Tukiielewa na tukiitumia mbinu hii ya kuchambuwa Qur’an, tutaona raha sana tukiisoma Qur’an kwa nia ya kuielewa. Aidha aya moja moja, neno moja moja moja au hata herufi moja moja, kuijuwa tafsili itatusaidia sana kuifahamu Qur’an kila tutapoisoma na itatufungulia muono mpana sana kupita maelezo.

Faida nyingine kubwa ya kufanya tafsil, ni kwa sisi amabao tumesoma sekula kwa maandishi ya kilatini, iwe Kiswahili au Kingereza. Haya maansishi yetu ya shule yana koma, vituo, mabano, nukuu na kashalika. Ndani ya Qur’an yote hayo yapo na zaidi lakini kwa kutumia mbinu ya tafsil tutayapata kiurahisi kabisa.

Mbinu za kuijua Qur’an ni lazima tuzifanyie kazi, haziji tu hivi hivi, lakini amini nimwaambie, kila unapoisoma Qur’an kwa nia Fulani unayapata majibu kiajabu kabisa mpaka tutajishangaa.

Humu kila tunavyoendelea tutaitumia sana njia ya tafsil na tutajitahidi kuielezea kila tunavyoendelea, Pamoja na mbinu zingine. In shaa Allah tutaziweka zote kwenye ukurasa wetu wa fahairisi ili iwe rahisi kuzirejea. Na kama mmoja wetu ataona kitu ambacho kinafaa tukiweke kwenye fahirisi basi anijulishe nami nitakiweka.

Niligusia kidogo hapo juu kuwa wanaoongelewa hapo ni bani israil. Na nikagusia kionjo kimoja cha Qur’an, kua Qur’an katika ayah io hio moja moja au katika aya kadhaa zinazofatana inaweza kuongelea kikundi cha watu (third party) halafu hapo hapo ikaanza kuongelea moja kwa moja kama inaongea na mmoja wao ana kwa ana. Kama ilibyo aya za 26 na 27 mpaka kufikia kuongea moja kwa moja kwenye aya ya 28.

Kitu kama hicho pia kipo katika sura ya Abbasa. In shaa Allah Tutakileta siku za usoni tutajionea, au tunaweza kukipitia pitia tukajionea kwa tafsiri zilizopo. Kama tutaligundua hilo tujulishane. Hio ni homework kwa sote.

Tuendelee na aya 29 kwa ufafanuzi wetu.

Q 2:29

Yeye ndiye aliye kuumbieni kwa ajili yenu, (Baudha) yote yaliyomo katika Maandiko (ardh),هُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ لَكُم مَّا فِى ٱلْأَرْضِ جَمِيعًۭا ٢٩
“thumma” (Baada ya muda kupita) akawizani (balance) katika utambuzi (Alsamaa).ثُمَّ ٱسْتَوَىٰٓ إِلَى ٱلسَّمَآءِ
akafanya tabaka saba za uelewa (sabaa samaawat) na yeye ndie mfundishaji wa kila kitu.فَسَوَّىٰهُنَّ سَبْعَ سَمَـٰوَٰتٍۢ ۚ وَهُوَ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيمٌۭ ٢٩

Ufafanuzi wa Aya ya 29 ya Sūrah (2) Al-Baqara

Mwanzo wa aya hiyo kama nilivyoichambua hapo juu, inaanza kwa kuwajulisha “baiudha”, kuwa yeye ndiye aliyewaumbia yote yaliyomo katika maandiko (ardh), mnakumbuka mwanzoni huko tulielezea kua “ardh” pia inamaanisha maandiko na sio lazima iwe ni hii ardhi yetu tuliyozowea kuifikiria kila tunaposikia neno “ardh”. Hapo mtaona kua katika kipande hicho cha awali halikutajwa kabisa neo “samaawat) likaja kutajwa Baadae. Lakini baada ya neno “ardh” tu likaja neno “thumma”, hili linaonesha wazi kua muda ulipita.

Ikaja “stawaa (ku-balance) katika utambuzi “ala samaa”.

Tunajifunza nini katikja aya hiyo? Muujiza wa Qur’an.

Hapo inaonesha wazi kua makundi waliyopata kitabu kabla ya Qur’an, yalikuwamo humo mafundoisho na uelewa uliohitajika. Lakini Baadae, ilipokuja Qur’an ndio tukapewa maandiko ambayo ni Qur’an yenyewe na tukapewa tabaka (samaawat) za uelewa, tumepewa tabaka saba, ili tukifata anri ya Muumba wetu ya “soma” )ikraa) kila trunaposoma basi yeye mwenyewe ndie mwenye kutuongezea elimu kwa kutupandisha tabaka za uelewa (samaawaat). Huu ni muujiza amabo tunauishi kila siku. Tunayasikia kila sikuwatu wanasema “Qur’an ukiiacha na yenyewe inakuacha”, jali kadhalika kila unapoisoma Qur’an kwa kutaka kuielewa basoi mwenyewe mwenye Qur’an yake anakufungulia milango ya uelewa kiajabu kabisa. Kuielezea hii ni ngumu sana. Na utakapoisom kwa kuisoma tu, basi uelewa wako utabaki kwenye tabaka hio ya kuisoma tu.

Namaanisha kila unapoi[pigia mbizi Qur’an kutafuta chaza wenye oulu, basi mwenye lulu zakje hakunyimi hata kidogo. Na hilo linathibitika hapo kwenye maneno ya mwisho, kua yeye ndiye “Alim” wa kila kitu. Naamini spote tunafahamu kua kazi ya Alim ni kufundisha.

In shaa Allah rukirudi tutakuja kipande kinachosubiriwa kwa hamu kubwa. Mniwoie radhi, imebidi tuanzie huko ili tupate uelewa, In shaa Allah tumeupata japo kwa uchache wake. Nasema kwa uchache wake kwa sababu uchambuzi (tafasil) wa hizi aya ni mrefu sana na ningesema niulete wote basi naamini mpaka leo tungekua bado hatujaimaliza aya ya 26 tu na tungejaza zaidi ya kurasa 100.

Kwa hayo, nakaribisha maswali, ushauri, kukosolewa na chochote kinachuhusiana na elimu hii.

Itaendelea.
 
Mwanzoni nilikuwa najua hizi aya 4 zote hazihusiani, bali zimeongelewa vitu tofautitofauti kwa kurukaruka mada.....sasa naona muunganiko wake, tunashkuru kila ismu ishara na majhuli ilotumika umetuelezea inamrefer nani. Asante
 
Simba/Arsis samahan kwa swali hili lililo nje ya mada mnayoendelea kuiwasilisha jukwaan lakini naomba niulize kwa sababu limenipa utata sana,swali lenyewe ni juu ya tafsiri ya ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo ni kwamba,
Nimeota tunaongea na marehemu kaka yangu aliyefariki miezi 3 iliyopita mimi ni nikiwa na watu nisiowafahamu yeye akiwa peke yake akinieleza kuwa wamemchukua watu ambao hakuwataja ni kina nani na kwenda kumficha hivyo hajafa anadai hao watu niliokuwa nao mimi ndiyo wamemsaidia amerudi hivyo anaomba niwalipe fedha kwakuwa aliwaahidi wakimrudisha na kumponesha atawalipa fedha yao nikawalipa wale watu shilingi 10,000/= kisha nikashtuka.
Tafadhali Arsis naomba msaada wa tafsir ya ndoto hii ni nini inaashiria
 
Kisa cha Adam 2.5

Nimepitia maoni, nimeona Lidafo kataka kisa cha Adam nikilete kwa wingi na FaizaFoxy anasema niende kwa kina zaidi.

Nitajitahidi kufanya yote hayo. Mnistahamilie tu.

Natumai mpaka sasa sasa tunaelewa kiasi jinsi Qur’an inavyotupa (bayyina) yaani mbinu kadhaa za kujibainisha yenyewe (Mubyin). Nasisitiza sana tuifahamu mbinu ya “tafsil”. Tukiielewa na tukiitumia mbinu hii ya kuchambuwa Qur’an, tutaona raha sana tukiisoma Qur’an kwa nia ya kuielewa. Aidha aya moja moja, neno moja moja moja au hata herufi moja moja, kuijuwa tafsili itatusaidia sana kuifahamu Qur’an kila tutapoisoma na itatufungulia muono mpana sana kupita maelezo.

Faida nyingine kubwa ya kufanya tafsil, ni kwa sisi amabao tumesoma sekula kwa maandishi ya kilatini, iwe Kiswahili au Kingereza. Haya maansishi yetu ya shule yana koma, vituo, mabano, nukuu na kashalika. Ndani ya Qur’an yote hayo yapo na zaidi lakini kwa kutumia mbinu ya tafsil tutayapata kiurahisi kabisa.

Mbinu za kuijua Qur’an ni lazima tuzifanyie kazi, haziji tu hivi hivi, lakini amini nimwaambie, kila unapoisoma Qur’an kwa nia Fulani unayapata majibu kiajabu kabisa mpaka tutajishangaa.

Humu kila tunavyoendelea tutaitumia sana njia ya tafsil na tutajitahidi kuielezea kila tunavyoendelea, Pamoja na mbinu zingine. In shaa Allah tutaziweka zote kwenye ukurasa wetu wa fahairisi ili iwe rahisi kuzirejea. Na kama mmoja wetu ataona kitu ambacho kinafaa tukiweke kwenye fahirisi basi anijulishe nami nitakiweka.

Niligusia kidogo hapo juu kuwa wanaoongelewa hapo ni bani israil. Na nikagusia kionjo kimoja cha Qur’an, kua Qur’an katika ayah io hio moja moja au katika aya kadhaa zinazofatana inaweza kuongelea kikundi cha watu (third party) halafu hapo hapo ikaanza kuongelea moja kwa moja kama inaongea na mmoja wao ana kwa ana. Kama ilibyo aya za 26 na 27 mpaka kufikia kuongea moja kwa moja kwenye aya ya 28.

Kitu kama hicho pia kipo katika sura ya Abbasa. In shaa Allah Tutakileta siku za usoni tutajionea, au tunaweza kukipitia pitia tukajionea kwa tafsiri zilizopo. Kama tutaligundua hilo tujulishane. Hio ni homework kwa sote.

Tuendelee na aya 29 kwa ufafanuzi wetu.

Q 2:29

Yeye ndiye aliye kuumbieni kwa ajili yenu, (Baudha) yote yaliyomo katika Maandiko (ardh),هُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ لَكُم مَّا فِى ٱلْأَرْضِ جَمِيعًۭا ٢٩
“thumma” (Baada ya muda kupita) akawizani (balance) katika utambuzi (Alsamaa).ثُمَّ ٱسْتَوَىٰٓ إِلَى ٱلسَّمَآءِ
akafanya tabaka saba za uelewa (sabaa samaawat) na yeye ndie mfundishaji wa kila kitu.فَسَوَّىٰهُنَّ سَبْعَ سَمَـٰوَٰتٍۢ ۚ وَهُوَ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيمٌۭ ٢٩

Ufafanuzi wa Aya ya 29 ya Sūrah (2) Al-Baqara

Mwanzo wa aya hiyo kama nilivyoichambua hapo juu, inaanza kwa kuwajulisha “baiudha”, kuwa yeye ndiye aliyewaumbia yote yaliyomo katika maandiko (ardh), mnakumbuka mwanzoni huko tulielezea kua “ardh” pia inamaanisha maandiko na sio lazima iwe ni hii ardhi yetu tuliyozowea kuifikiria kila tunaposikia neno “ardh”. Hapo mtaona kua katika kipande hicho cha awali halikutajwa kabisa neo “samaawat) likaja kutajwa Baadae. Lakini baada ya neno “ardh” tu likaja neno “thumma”, hili linaonesha wazi kua muda ulipita.

Ikaja “stawaa (ku-balance) katika utambuzi “ala samaa”.

Tunajifunza nini katikja aya hiyo? Muujiza wa Qur’an.

Hapo inaonesha wazi kua makundi waliyopata kitabu kabla ya Qur’an, yalikuwamo humo mafundoisho na uelewa uliohitajika. Lakini Baadae, ilipokuja Qur’an ndio tukapewa maandiko ambayo ni Qur’an yenyewe na tukapewa tabaka (samaawat) za uelewa, tumepewa tabaka saba, ili tukifata anri ya Muumba wetu ya “soma” )ikraa) kila trunaposoma basi yeye mwenyewe ndie mwenye kutuongezea elimu kwa kutupandisha tabaka za uelewa (samaawaat). Huu ni muujiza amabo tunauishi kila siku. Tunayasikia kila sikuwatu wanasema “Qur’an ukiiacha na yenyewe inakuacha”, jali kadhalika kila unapoisoma Qur’an kwa kutaka kuielewa basoi mwenyewe mwenye Qur’an yake anakufungulia milango ya uelewa kiajabu kabisa. Kuielezea hii ni ngumu sana. Na utakapoisom kwa kuisoma tu, basi uelewa wako utabaki kwenye tabaka hio ya kuisoma tu.

Namaanisha kila unapoi[pigia mbizi Qur’an kutafuta chaza wenye oulu, basi mwenye lulu zakje hakunyimi hata kidogo. Na hilo linathibitika hapo kwenye maneno ya mwisho, kua yeye ndiye “Alim” wa kila kitu. Naamini spote tunafahamu kua kazi ya Alim ni kufundisha.

In shaa Allah rukirudi tutakuja kipande kinachosubiriwa kwa hamu kubwa. Mniwoie radhi, imebidi tuanzie huko ili tupate uelewa, In shaa Allah tumeupata japo kwa uchache wake. Nasema kwa uchache wake kwa sababu uchambuzi (tafasil) wa hizi aya ni mrefu sana na ningesema niulete wote basi naamini mpaka leo tungekua bado hatujaimaliza aya ya 26 tu na tungejaza zaidi ya kurasa 100.

Kwa hayo, nakaribisha maswali, ushauri, kukosolewa na chochote kinachuhusiana na elimu hii.

Itaendelea.
Nataka kujua kwanza,anayechambua hapa ni wewe simba au arsis?

Kwasababu aya inasema "yeye ndiye aliyewaumbia yote katika ardhi" iweje yawe hayo ni maandiko?

Unazungumzia samawati/tabaka iweje hizo tabaka ziwe za elimu?

Wakati kuna tabaka za ardhi na mbingu

Naona kuna kitu hakipo sawa hapa
 
Back
Top Bottom