dullah lakumo burra
Member
- Jan 15, 2018
- 80
- 121
Nfo maana nikakuambia kushuka n ngumuhuwa Napata shida sana kutoka Stella hadi Barafu aisee...
Nfo maana nikakuambia kushuka n ngumuhuwa Napata shida sana kutoka Stella hadi Barafu aisee...
Kushuka ni raha zile amsha amsha za maguide mnajikuta mnaseleleka tu, mie kutoka Stella hadi barafu nilishuka kwa msaada wa watu wa mlima Kilimanjarohuwa Napata shida sana kutoka Stella hadi Barafu aisee...
Safi sana Mkuu!!
Naikumbuka safari yetu, ni experience isiyo elezeka. Mimi na dogo tumepanga kwenye kutembelea hifadhi atleast mara moja kila mwaka
2016 tulipanda Mount Kilimanjaro - Machame Route 6 days
2017 - Serengeti 5 days
2018 - Loading....
Acha tu.. huyu Msukuma anatufanya hata bundle tunakosa teh tehMe gud bro, me gud!
Long time no see my man!
John wassup bro...
Naikumbuka safari yetu, ni experience isiyo elezeka. Mimi na dogo tumepanga kwenye kutembelea hifadhi atleast mara moja kila mwaka
2016 tulipanda Mount Kilimanjaro - Machame Route 6 days
2017 - Serengeti 5 days
2018 - Loading....
Safi sana bro! Unatutia hamasa nasi ya kuufurahia uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Naikumbuka safari yetu, ni experience isiyo elezeka. Mimi na dogo tumepanga kwenye kutembelea hifadhi atleast mara moja kila mwaka
2016 tulipanda Mount Kilimanjaro - Machame Route 6 days
2017 - Serengeti 5 days
2018 - Loading....
Kweli mkuu tulikuwa tunapishana na Wazee wa kizungu tuHzo njia za Marangu na Rongai ni rahisi mno ni za viongoz na wamama.kidume pita machame, Lemosho, londrosi, au Umbwe, na kwa mbeba mizigo (mgumu)anatambaa na kg25 begani.
Ulifika kileleni mkuu? Hebu waambie wanajukwaa ladha ya huu mlima, binafsi nimeukwea kama mara nne hivi...Two Times Marangu Route...
Mara moja Machame na Mara moja Londorosi...
Nilishiriki ya KIA marathon mkuuMkuu hongera sana. Mimi nashiriki Killy Marathon (21km) toka 2007, ila mlima sijawahi kupanda.
Umenihamasisha sana mkuu. Mungu akijalia mwaka huu lazima niukwee.
Karibu na wewe Killy Marathon mkuu.
Nilishiriki ya KIA marathon mkuu
Issue kubwa ni kufanya mazoezi sana kabla hujaenda ili kujenga stamina na kuwa mvumilivu kwa kiwango cha juu ili uweze kufika peak.Ndani ya miaka 2 naplan kupanda hebu nipe hints miezi ipi ni kizuri nikipanda nitakuta barafu nyingi?
Tusisahau Mapota(wagumu hawaendi peak)Nilishapanda mlima mara mbili na kufanikiwa kufika peak kwa kupitia Marangu route, real ni big adventure lakini inahitaji ujasiri na uvumilivu mkubwa sana kupanda huo mlima.
Ni issue kufika Uhuru Peak. Kama ndiyo mara ya kwanza hakuna rangi ambayo utaacha kuiona. Lakini kuna kitu cha ajabu nilichojifunza kule nacho ni nguvu gani wanayotumia wale mapota??? Ni nguvu peke yake au kuna ziada???
Asante sana Mkuu...Mwaka huu inaanza lini?Hongera sana mkuu; ila Kilimanjaro Marathon ndiyo kongwe, na ni well organised kuliko Kia. Mwaka uliopita nadhani washiriki walikuwa zaidi ya 10, 000.
Jaribu kushiriki hii, utaona tofauti kubwa sana na Kia Marathon.