Nathamilla
Member
- Dec 11, 2017
- 23
- 26
Mkuu ingekua Vizur ungejibu humu Public tupate kujua wote kwa maana wapo wengi tunataman tujue costs zakeKaribu mkuu...nitakujibu kule right now

Nawasalimia waungwana
Nimefanikiwa kupanda Kilimanjaro wiki Jana.
Kwa wale ambao hamjapata nafasi kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana Mkuu.Nawasalimia waungwana
Nimefanikiwa kupanda Kilimanjaro wiki Jana.
Kwa wale ambao hamjapata nafasi kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri mkuu...Hongera sana mkuu. Kupanda Kilimanjaro iko katika mipango yangu; Majaliwa kabla mwaka haujaisha nitakuwa nimetekeleza.
Nakukaribisha na wewe Killy Marathon mwakani kama bado hujawahi kushiriki.
How far did u make it?Nawasalimia waungwana