dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,406
- 18,070
Achana na mamb ya waislamuBinafsi huwa nashindwa kuelewa kwa sababu Saudi Arabia mwezi ukiandama sehemu nyingine yoyote Duniani huwa hawafungui mpaka uonekane kwao, ila kwa hapa Tanzania Waislam wa Answar Sunnah wanasema ukionekana popote watu wanafungua, lakini Saudia wasipofungua na wao hawafungui hata kama nchi nyingine apart from Saudia utakuwa umeonekana, sasa hapa ndipo nnaposhindwa kuelewa hii concept ya mwezi muandamo.