Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,161
- 2,612
Salaam wakuu.
Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr.
Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale ulimwenguni, mbona leo sijaona wala kuskia kuwa watu wameswali hapa Tanzania wakati Nigeria mwezi umeonekana wakuu ?
Nawasilisha.