Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,993
- 33,096
Naomben tracks za ngwair
Madem wangu
sikiliza
Wikend
Napokea simu
Zawadi
Naomben tracks za ngwair
Madem wangu
sikiliza
Wikend
Napokea simu
Zawadi
Kuna nyimbo flani hivi chorus yake inaimba hv :
"Tuwe karibu
Mpenzi karibu
Tuishi pamoja
Aha a. "
Hizi hapa ndugu, kama zooooote vile.
Enjoy while it lasts
Africa ndo naijuajamani kuna mtu yeyote anafahamu nyimbo za salif keita?
Hiyo nshaweka angalia post...za juu!!Mkuu chuma kingine hichi tafadhali nakiomba.
BlackRhyno ft Mr blue_Nskize Mi nafanya nini mi nafaaanya nini na machizi wangu maskani tunawaaaza nini.
Shukrani mkuu.
asante sana mkuu.Hii hapa ndugu. Enjoy while it lasts
Kuna mwimbo nadhani ni zilipendwa una maneno:Hiyo nshaweka angalia post...za juu!!
kuna msaanii anaitwa hk enzi hizo ana nyimbo inaitwa tatizo out na nyingine inaitwa umerudia tena kashirikishwa Esta wasira pls kama mnazo hizo wadau naziomba
1:NAOMBENI NYIMBO HIZI:-
SI ULILETA NYODO - WA DAJOO
2:WAPE VIDONGE WA SUMA G
3:TUMBO DENI LA DUNIA WA USWAHILINI MATOLA
4:JIKO LIMENUNA WA ZIG ZAG CREW
5:HEKAHEKA ZA TEACHER WA G SOLO NA INSPECTOR HAROUN
6:SITAKI DEMU RMX WA J NATURE ILA SIKUMBUKI ALIEMSHIRIKISHA.
NINGESHUKURU SANA KUZIPATA HIZI SABABU NIMESHAZITAFUTA HADI NIMECHOKA.
Sitaki demu rmx nature ft Bk
Inaitwa kazeze ipo humuhumuKuna pini flani hivi mchizi anasimulia story ya jamaa yake aliyefariki kwa miwaya ...haamini kumwona jamaa yake.Odinary sana.siyo alikufa kwa ngoma wala msinitenge au starehe ya braza Ferooz.Ni ngoma tamu kuisikiliza,kuifikiria na funzo lake pia ni jema kiasi.
Mzee naomba unishushie Nyimbo za Mr Ebbo,Hizi hapa ndugu, kama zooooote vile.
Enjoy while it lasts
Nautafuta sana hata mimiSafari 2005 wa twanga pepeta
Mkuu naomba wimbo wa pauline zongo unaitwa.safari kama unaoPoa mkuu..Jmos njema pia