Wakuacha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 2,046
- 1,337
Nitag na Mimi mkuu huwa navutiwa sana na haya mambo kila ukidondosha Uzi nitag mkuuTayari nimeshawatag
asigwa hii haifundishi kuumiza watu
mshana jr nlikuomba ufafanuzi kuhusu kitabu kama hiki kwani pamoja na title yake hiyo bado kinamtaja Yesu na damu yake, pia kinamtaja holy ghost ktk maombi yaliyomo ndani.
Au ndipo wanakopitia watumishi wa siku hizi?
Nlitaka kukiweka hapa ila simu imegoma kina MB 10s