issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 3,191
- 5,596
usinisahau piaAsanteeee
usinisahau piaAsanteeee
Mshana alishasema hakutaki unanuka unamng'ang'ania kijana wa watu wanini? Tafuta makunyanzi wenzio bibiye wakti wako ushapita usituharibie vijana.Ndiyo kwanza uyajuwe leo hayo kuwa hakuna pesa ya bure bure?
Kweli kuna watu bado wapo miaka kadhaa nyuma.
So kaka mshana suluhu bila matambiko au kupatanishwa haiwezi kupatikana?Haya mambo yapo sana japo kwa kificho sana ila mpaka ifikie hapo basi tatizo ni kubwa zaidi na baya kwakuwa kutakuwa na kutoelewana ndani ya familia, na hasa upendeleo na kuwaweka watoto kwenye madaraja
Hali hii huzipata familia zenye watoto wengi huku wazazi wakiwa na kipato kidogo au kuwa na watoto wa kufikia au wa kambo
Kwahiyo unaweza kukuta ni ushetani juu ya ushetani na muafaka lazima uanzie kwenye familia, ikihusisha matambiko ibada za utakaso na upatanisho dua na maombezi mbalimbali ya kuvunja na kuangamiza laana za ukoo na familia
Kwa njia ipi kaka unaweza kutegua huo mtego..?Inawezekana pia
Hahahaaaa...Kwanini usipelekwe na mamaako