Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,594
- Thread starter
- #61
Mbona kama unatetea udhaifu wako....? Wala pisi tunajuanaNi kawaida kula pisi mzee, na kila pisi unayokula sio yako peke yako
Nyingine kesho ndo ndoa, nyingine ziko na wapenzi serious kabisa ila unachakata unakausha..
Ujue hii kitu unayofanya huwa wanafanya sana wanaume wanaokataliwa sana na wanawake au wanaume wanaohisi wana upungufu wa nguvu za kiume so wanajiexpose kua wako njema, ili wajipe matumaini.
Ila kwa mwanaume kamili kula mbususu ni jambo la kawaida kabisa, sio big deal.