Ni siku nyingine tena ya maumivu

Dumuzii

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,593
8,581
Kama kawaida ndugu yenu hapa ninaewapenda na kuwajari. Ni hivi leo ni siku nyingine ya maumivu kwa wanaume wagai gai kwenye sector ya mapenzi.

Ni hivi leo tena naenda kulamba kibuyu cha mchumba wa mtu kama ambavyo jana nimelamba kibu cha mchepuko wa bro mwenye v8 japo sio mtamu kivile ila sijui ni nini kimekuvutia hadi kumfanyia uwekezaji huu.

We kajamaa ninaeenda kukulambia leo ukipiga Simu moja ukiona haija pokelewa tulia. Hiyo tabia ya kupiga masimu utafikiri mtu kakubebea dozi ni ujinga sana.

Unapigaje missed calls 23 na meseji 40 huoni kama unamkatisha utamu mpenzi wako embu kuwa muelewa acha ubinafsi muache ale raha kwa amani kesho nayo ni siku atakutafuta.

Kuwa muelewa kama bro wa v8

NB: Mwanaume tumia akili na sio hisia, ningewapa screenshots ila hamjitambui.
 
sawa
kazi kweli kweli
Untitled.jpg
 
Unaweza kukuta wewe ndio unatafunwa, halafu mumeo ndio hua anakupigia hizo simu na msg nyingi nyingi,tulia kwa mumeo,utakuja kukatwa masikio,shauri yako.
Nikufichulie siri tu kuna baadhi ya meseji nilikua namsaidia kumjibia...maana hawezi kuugulia utamu wa rungu huku anasoma malalamiko yako
 
Back
Top Bottom