Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,390
Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi au ni matumizi mabaya ya pesa.?l
inafanania na hili kwenye mchoro.
inafanania na hili kwenye mchoro.