kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,899
- 20,709
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.