Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
10,896
20,706
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
 
Achana nae. Mwanamke akisha yanyua mguu wake na kuondoka nyumba i huyo hapaswi kurudi. Hamna cha kubembeleza wala nini acha aende zake kenge zimejaa kibao hapa duniani.

Hapa cha muhimu ni kupamba uweze kuhudumia watoto huko walipo ila suala la huyo kenge kurudi kwako halipo.
 
Sawa mkuu
 
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
Yaani mwanamke anaondoka kwako na watoto wako toka mwezi uliopita na huangaiki kupiga simu kwa ndugu zake kumjulia hali au kujua alipo serious..

Wewe humpendi huyo mwanamke basi penda watoto wako.

Kwanza fanya juhudi kujua alipo wapi nenda kawasalimie watoto na upeleke mahitaji siku hizi maisha magumu usiwaachie majukumu yako wakwe zako..

Kama unampenda bado omba msamaha huko warudi nyumbani muendelee na maisha kama himpendi kwa sasa basi fuata utaratibu mzuri wa kujua namna ya kutunza watoto wako.
 
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.

Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
Miaka nane ni mingi sana mlipaswa kua mmeshaoana

Lakini pia kwa muda huo mmeshazoeana sana itawawia vigumu sana kutengana hata kama hamna ndoa lakini tayari mmeshatengeneza bond nzuri sana

Malezi mazuri ya watoto ni ya baba na mama Kwa pamoja,msitengane muwalee watoto wenu pamoja

Mwisho kabisa nawasihi mfunge ndoa lakini pia acha pombe kijana
 
Sawa mkuu,this is well noted.
 
Back
Top Bottom