Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Kifutu eti ndo nyoka mvivu kuliko wote duniani!! Hana haraka... Anaweza ingia uvunguni akaishi huko ata wiki zikakatika... Ila ukiingia 18 zake umekwisha! View attachment 499518
Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
 
Kifutu na hatari yake yote hana haraka kudonoa mtu!!! Mpaka pale atakapohisi kuna hatari kwake... Kama unataka kumkanyaga au kumshika
 
Mkuu asante na kama hupend basi usije huku kwetu maana ni weng sana
Aisee,nimeishi vijijini ila sijaish maeneo yenye majoka majoka.
Ukuaji wangu naona vinyoka vya kawaida au kama mkubwa hazdi mkono kwa unene.Sasa ukiniambia huko kwenu wapo wengi sijui ingekuaje.Jamaa yangu alikua Chunya ananambia kuna Nyoka wengi sana,aina nyingi za nyoka.Nilikua napata hofu sana.
 
Nakumbuka 2013 tulikuwa MGAMBO JKT(kwa mujibu wa sheria-Awamu ya pili)..basi kuna bwawa lipo porini makuruta wengi walikuwa "wana-dojia" huko kukiwa na "mtiti" kikosini...basi siku moja Afande akiwa zamu ya kulinda kule aliua bonge la joka kwa risasi kama 5 hivi then wakalileta kikosini kutuonesha jinsi gani tupo kwenye RISK tunavyoendaga kule.. kuanzia siku hiyo watu waliogopa kchz kutokea pande zile yan ingawa kuna vichwa ngumu waliendea kulala maporini kama kawa...jeshini noma
 
Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
We ulyatafut mwnyew,, nn sabb ya kuziach nguo,, afu ukaziach mpk kesho nd unazifata ,,,we ulkua na mattzo co bure…!!!!
 
Mkuu nlivyoanza tu kufua nikaitwa niende shamba kulinda ndege wasile mpunga(pawaga) maana alie kuwa analinda alipata ugonjwa hivyo tunalinda ndege mpaka saa 1 usiku na kutoka shamba mpaka ni mwendo wa dakika 40 hivi ikawa usiku ndo nkaamua nizifuate asbh kabla ya kwenda shamba tena.
 
Aisee,nimeishi vijijini ila sijaish maeneo yenye majoka majoka.
Ukuaji wangu naona vinyoka vya kawaida au kama mkubwa hazdi mkono kwa unene.Sasa ukiniambia huko kwenu wapo wengi sijui ingekuaje.Jamaa yangu alikua Chunya ananambia kuna Nyoka wengi sana,aina nyingi za nyoka.Nilikua napata hofu sana.
Chunya huko ni hatareee mkuu kuna mijoka iko pande flan hivi wanaita maili tano km ushawah kusikia nyoka anaewika BA's chunya wapo
 
Anaconda akifutiwa na chatu wa Asia ya Kusini(ukubwa) (hawana sumu, wanaua kwa constriction)
Nyoka mkubwa mwenye sumu ni King Cobra
Nyoka hatari sana kama taipan(ana sumu yenye uwezo wa kuua mpaka watu 400)na Tiger snake wote toka Australia... Australia pekee ina top 10 ya nyoka wenye sumu kali zaidi duniani
Nyoka mwenye sumu kali Afrika ni Black Mamba(koboko) sumu yake inaitwa neurotoxin pamoja na cardiotoxin(inaathiri mfumo wa neva pamoja na moyo
ndo nyoka mwenye kasi zaidi pengine dunia anakwenda km 19 kwa saa(12mph)... Lakini kwa Afrika Boomslang na vine au twig wanaweza kuwa na sumu kali zaidi japo watu wengi wanachukuliwa poa kwa sababu sio wakorofi sana kama Mamba (silent killers (hawa wana sumu inayoitwa haemotoxin ambayo huathiri damu... ina chemical component ambayo huzuia damu kuganda (clotting) na chemical component nyingine husababisha kupasuka kwa mishipa ya damu hii husababisha damu kuvuja ndani na nje kupitia matundu ya mwili )
Puff adder (kifutu) ndo nyoka mwenye kuuwa watu wengi Afrika kuliko nyoka mwingine(sumu yake inaitwa cytotoxin hii huathiri tishu... Inasababisha kuungua au kuoza sehemu ilioumwa
Mozambican spitting Cobra ndo nyoka anaedhuru watu wengi Kusini mwa Afrika
NB:Angali nyoka wote kwa umakini japo asilimia 70 ya nyoka tz hawana sumu ya kudhuru binadamu... Nyoka mdogo ni hatari zaidi (concentration ya sumu kwa nyoka wadogo ni kubwa... Wanatumia kujilinda kutokana na udogo wao)
Nyoka wakubwa umbo lao laweza kuwasaidia kuogofya
Mkuu ni vyema ukarudi na anti-venom za hawa nyoka. Itatusaidia sana sisi watu wa pori. Nasikia sikonge ni balaa kwa koboko!
 
Mkuu nlivyoanza tu kufua nikaitwa niende shamba kulinda ndege wasile mpunga(pawaga) maana alie kuwa analinda alipata ugonjwa hivyo tunalinda ndege mpaka saa 1 usiku na kutoka shamba mpaka ni mwendo wa dakika 40 hivi ikawa usiku ndo nkaamua nizifuate asbh kabla ya kwenda shamba tena.
Ooow,, polee nilijua ni uvivu aisee,, nisamehe bure…!!
 
Anaconda akifutiwa na chatu wa Asia ya Kusini(ukubwa) (hawana sumu, wanaua kwa constriction)
Nyoka mkubwa mwenye sumu ni King Cobra
Nyoka hatari sana kama taipan(ana sumu yenye uwezo wa kuua mpaka watu 400)na Tiger snake wote toka Australia... Australia pekee ina top 10 ya nyoka wenye sumu kali zaidi duniani
Nyoka mwenye sumu kali Afrika ni Black Mamba(koboko) sumu yake inaitwa neurotoxin pamoja na cardiotoxin(inaathiri mfumo wa neva pamoja na moyo
ndo nyoka mwenye kasi zaidi pengine dunia anakwenda km 19 kwa saa(12mph)... Lakini kwa Afrika Boomslang na vine au twig wanaweza kuwa na sumu kali zaidi japo watu wengi wanachukuliwa poa kwa sababu sio wakorofi sana kama Mamba (silent killers (hawa wana sumu inayoitwa haemotoxin ambayo huathiri damu... ina chemical component ambayo huzuia damu kuganda (clotting) na chemical component nyingine husababisha kupasuka kwa mishipa ya damu hii husababisha damu kuvuja ndani na nje kupitia matundu ya mwili )
Puff adder (kifutu) ndo nyoka mwenye kuuwa watu wengi Afrika kuliko nyoka mwingine(sumu yake inaitwa cytotoxin hii huathiri tishu... Inasababisha kuungua au kuoza sehemu ilioumwa
Mozambican spitting Cobra ndo nyoka anaedhuru watu wengi Kusini mwa Afrika
NB:Angali nyoka wote kwa umakini japo asilimia 70 ya nyoka tz hawana sumu ya kudhuru binadamu... Nyoka mdogo ni hatari zaidi (concentration ya sumu kwa nyoka wadogo ni kubwa... Wanatumia kujilinda kutokana na udogo wao)
Nyoka wakubwa umbo lao laweza kuwasaidia kuogofya
Aiseee uko vizuri nadhani una PHD ya mambo ya nyoka
 
Back
Top Bottom