Ni muhimu sana vijana kupima vizuri athari za kuhamasishwa kufanya mambo haramu na vibaka wa kisiasa ili kuepuka kuumizwa au kupoteza maisha

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
27,918
27,145
Ni muhimu sana kwa vijana na wazee kwa pamoja katika siasa, graduate na wasio graduates kua makini mno na kuepuka kukubali kirahisi kuhamasishwa na kubebwa ufala kifikra na viongozi wa kisiasa waliopoteza uelekeo nchini, na kutumbukizwa katika kutenda mambo au matendo haramu ambayo ni kinyume cha sheria, na hatimae kujikuta unamizwa au kupoteza maisha kilofa kabisa, na kupeleka huzuni nyumbani kwako na kusababisha utegemezi au umaskini wa kutupwa kwenye familia yako.

Usikubali kutumika kisiasa kama chambo au platform ya kisiasa kwa wanasiasa ambao wamekosa agenda, Lakini kabisa wamekosa maono. Ni fedheha msiba wako kufanywa jukwaa la kisiasa na majeraha au ulemavu wako kama mtaji wa kupata huruma kwa jamii ambayo haina faida yeyote kwako na kwa familia yao.

Tunza na kuitumia vyema zawadi ya uhai, afya na karama ya utashi na akili alizokujalia Mungu kutambua kwa haraka jema na ovu unalohamasishwa kutenda na muovu, na kuasess chapchap hasara na faida za kubebwa ufala, kwako binafsi na kwa familia yako.

Epuka kufanywa Lofa na vibaka wa kisiasa.๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wewe ni ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
IMG_6991.jpeg
 
Acha uchawa na uzwazwa wewe chawaaa
 
Ni vyema vijana na wazee wakajiepusha Kuwa Chawa wa chama au mtu Binafsi hata pale palipo na ukweli.Jinsi unavyotenda na kuishi ndivyo jamii inavyokuona!Ni Bora ukasimamia ukweli bila kujali kupoteza Mali,nk Simamia kile unachokiamini kwa maslahi Yako na nchi nzima.Hata kama utakuwa peke Yako.
Hizi ndizo sifa NJEMA kama vileMwalimu J K.Nyerere aliuacha Ualimu ili kupigania Uhuru wa nchi hii! Nelson Mandela (Madiba)alifungwa katika kisiwa Cha peke yake kwa miaka ishirini na Saba!kwa me Nkrumah nk Japo walikufa,wangali wakinena!Kuwa Chawa si sifa NJEMA ni kuchumia tumbo na husahaulika milele.Kuwa shujaa na Moyo mkuu yahitaji kujitoa na kwa Haki.
 
Ni muhimu sana kwa vijana na wazee kwa pamoja katika siasa, graduate na wasio graduates kua makini mno na kuepuka kukubali kirahisi kuhamasishwa na kubebwa ufala kifikra na viongozi wa kisiasa waliopoteza uelekeo nchini, na kutumbukizwa katika kutenda mambo au matendo haramu ambayo ni kinyume cha sheria, na hatimae kujikuta unamizwa au kupoteza maisha kilofa kabisa, na kupeleka huzuni nyumbani kwako na kusababisha utegemezi au umaskini wa kutupwa kwenye familia yako.

Usikubali kutumika kisiasa kama chambo au platform ya kisiasa kwa wanasiasa ambao wamekosa agenda, Lakini kabisa wamekosa maono. Ni fedheha msiba wako kufanywa jukwaa la kisiasa na majeraha au ulemavu wako kama mtaji wa kupata huruma kwa jamii ambayo haina faida yeyote kwako na kwa familia yao.

Tunza na kuitumia vyema zawadi ya uhai, afya na karama ya utashi na akili alizokujalia Mungu kutambua kwa haraka jema na ovu unalohamasishwa kutenda na muovu, na kuasess chapchap hasara na faida za kubebwa ufala, kwako binafsi na kwa familia yako.

Epuka kufanywa Lofa na vibaka wa kisiasa.๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
Hayo malofa yanatolewa kafara, hao viongozi familia zao ziko nje ya nchi Ulaya na Marekani. Wacha yaliwe vichwa mapumbavu km hayo hayaishagi yako muda wote
 
Ni muhimu sana kwa vijana na wazee kwa pamoja katika siasa, graduate na wasio graduates kua makini mno na kuepuka kukubali kirahisi kuhamasishwa na kubebwa ufala kifikra na viongozi wa kisiasa waliopoteza uelekeo nchini, na kutumbukizwa katika kutenda mambo au matendo haramu ambayo ni kinyume cha sheria, na hatimae kujikuta unamizwa au kupoteza maisha kilofa kabisa, na kupeleka huzuni nyumbani kwako na kusababisha utegemezi au umaskini wa kutupwa kwenye familia yako.

Usikubali kutumika kisiasa kama chambo au platform ya kisiasa kwa wanasiasa ambao wamekosa agenda, Lakini kabisa wamekosa maono. Ni fedheha msiba wako kufanywa jukwaa la kisiasa na majeraha au ulemavu wako kama mtaji wa kupata huruma kwa jamii ambayo haina faida yeyote kwako na kwa familia yao.

Tunza na kuitumia vyema zawadi ya uhai, afya na karama ya utashi na akili alizokujalia Mungu kutambua kwa haraka jema na ovu unalohamasishwa kutenda na muovu, na kuasess chapchap hasara na faida za kubebwa ufala, kwako binafsi na kwa familia yako.

Epuka kufanywa Lofa na vibaka wa kisiasa.๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
Upuuuzi kiwango cha juuu sana huu๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
 
Kwakweli umesema jambo la msingi sana,Uje kupoteza future yako wakati Familia za hao viongozi zinafurahia maisha.
kuna watu wana ulofa wa kifikra mbaya sana gentleman,

maskini ya Mungu, hata hawajulikani lakini pia hata sio viongoz na pengine sio hata wanachadema ni mashabiki tu.

Nina hakika Familia zao zinafedheheka na kusononeka mno kwasasa ๐Ÿ’
 
Si kwa Chadema tu. Hata kwa machawa wapo tena wangi wasiojijua wala kukjua wanachofanya hadi wanakubali kujigeuza au kugeuzwa chawa.
 
Upuuuzi kiwango cha juuu sana huu๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
athari za kubebwa ufala kilofa na matapeli wa kisiasa, ukiachilia umauti, ni hii hapa chini ni athari ya mwanzo zaid ๐Ÿ’
 
Attachments

  • IMG_20240114_192301.jpg
    IMG_20240114_192301.jpg
    41.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom