Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 27,929
- 27,149
- Thread starter
- #21
Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa wapendwa waliohamasishwa kufanya mambo haramu na hatimae kuumizwa au kupoteza maisha, ninaamini familia hizo zina sikitika mno, zinafedheheka sana mpendwa wao kuumizwa au kupoteza maisha kilofa namna hiyo kwa kubebwa ufala na vibaka wa kisiasa nchini 🐒Si kwa Chadema tu. Hata kwa machawa wapo tena wangi wasiojijua wala kukjua wanachofanya hadi wanakubali kujigeuza au kugeuzwa chawa.