prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
Wakuu wenye utaalamu na ufahamu, ni jinsi gani naweza kuongeza sperm motility maana nimepata majibu kwamba ni 50/50. Vipimo vinginr vyote vipo vizuri
N.B
Naomba kueleweshwa zaidi katika suala la motility, jinsi gani naweza kuongeza
UPDATEEEEEE
Nashukuru wadau kwa michango yenu nimeenda kupima nimeambiwa motility ipo progressive na sperm zinaswim kwa speed inayotakiwa na nzuri, nilichofanya ni mazoez ya kukimbia pia vyakula na matunda vitamin C na B12. Mbarikiweeeee