Ni jinsi gani naweza kuongeza sperm motility

Tatzo ninalo, vp una jengine??maana hata hujapost ww unatumia tu,au nkutumie Chet cha dokta??
Pole kwa tatizo ulilo nalo,mbona ulikaa kimya hadi aseme mwenzio?kila mtu na kiasi chake cha matatizo,usitumie dawa kwa vile mwenzio kapewa ushauri,afu usiwe mgonvi na unaumwa!
 
Ctaki pole yko ya knafki,unahakika kama ckuwahi kusema au ww ndo mara ya Kwanza kuona post yangu?kama mattzo yanafanana kwann dawa icwe hio?au ni ya mganga??jambo cjambolo kikuwashacho ni nino weye macho ma3??
 
Ulipost wapi Ikhlas?nimekuambia matatizo hata kama yanafanna inawezekana dawa hyo ikawa haikufai wew!mpaka upime na ujue dr kakushauri nini ufanye!kama nimekukwaza samahani nafuta pole yangu!
 
Nashukuru wadau kwa michango yenu nimeenda kupima nimeambiwa motility ipo progressive na sperm zinaswim kwa speed inayotakiwa na nzuri, nilichofanya ni mazoez ya kukimbia pia vyakula na matunda vitamin C na B12. Mbarikiweeeee
 
Hongera sana mkuu ni vizuri ungeweka kwa mtiririko mzuri hasa vyakula na matunda uliyotumia ili watu wajifunze na kujikinga
 
View attachment 434290 kama uliwai kujichua shida yako ilitokana na kujichua kupona ni uhakika ukitumia fomula yangu gharama yangu ni nafuuu sawa na bure kupona ni uhakika huyu alikua na shida kama yako kwa sasa ataitwa baba punde whats app 0712505049
Mmmhh sijaelewa kujichua kunahusiana vipi na Sperm Motility ... msaada pls
 
anii yanatengenzwa kwenye mapumbu yanaunganishwa na misuli mbalimbali kutoka kwenye mapumbu had mirija ya kutolea manii misuli ikilegea kuna kua hamna pressure ya manii kusukumwa hadi kwenye mrija wa uume na manii hayo hayana uwezo wa kukimbia kwa kas kulifuata yai sababu sio bora hayajapitia uzalushaji kamili baada ya mirija na misuli kuuliwa na lipunyeto unalolipiga
 
Mtafute huyu Doctor kama upo Dar. 0658 180 542 Usidharau i had the same problem ila kwa sasa nipo fiti nakung'uta mimba kwa fujo mno.
Kaka habari. Nilikua napitia comment za JF. Nina shida ya Low sperm motility vp unaweza nisaidia ulifanyaje mpaka ukapona?
 
Back
Top Bottom