Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

ninjajr

Senior Member
Sep 16, 2023
170
172
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
 
Sijui ni shida Gani ila Nina uhakika 100% itakuletea shida.
 
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Tamisemi ipi unaongelea Halmashauri au?
 
Tangu majina yatangazwe na utumishi unakua na siku saba za kuifuata barua Dodoma.

Zikipita siku 7 hiyo barua itatumwa kwenye anwani (sanduku la posta) uliloandika. Kisha unakua na siku 14 za kuripoti katika kituo cha kazi.

Zikipita siku 14 haujaripoti kituo cha kazi kitarudisha majibu utumishi na nafasi itatangazwa upya au watampa post mwingine.

Nashindwa kujua madhara kwakua ndugu yangu ambaye hakuripoti kituo cha kazi ni kwavile alipata posts 2 so akachagua nyingine na nyingine aliinyamazia.
 
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Usiporipoti hakuna shida yeyote kwa 100%,ila ukiripoti na kujaza yale madocuments ndio tatizo lipo hapo.
So wewe kama unataka uombe tena,usiripoti tu
 
Ndugu yangu usipofika kwenye kituo ulichopangiwa kazi kuna SHIDA kanzi data (data base) itakuja kukutoa kuomba kazi inayofanana na hiyo labda uje uombe kazi Nyingine tofauti na hiyo soma hii attachment yenye SHERIA ZOTE ZA UTUMISHI WA UMMA utaelewa ethari zake
 
Attachments

  • psrs..pdf
    418.2 KB · Views: 6
Tangu majina yatangazwe na utumishi unakua na siku saba za kuifuata barua Dodoma.

Zikipita siku 7 hiyo barua itatumwa kwenye anwani (sanduku la posta) uliloandika. Kisha unakua na siku 14 za kuripoti katika kituo cha kazi.

Zikipita siku 14 haujaripoti kituo cha kazi kitarudisha majibu utumishi na nafasi itatangazwa upya au watampa post mwingine.

Nashindwa kujua madhara kwakua ndugu yangu ambaye hakuripoti kituo cha kazi ni kwavile alipata posts 2 so akachagua nyingine na nyingine

Tangu majina yatangazwe na utumishi unakua na siku saba za kuifuata barua Dodoma.

Zikipita siku 7 hiyo barua itatumwa kwenye anwani (sanduku la posta) uliloandika. Kisha unakua na siku 14 za kuripoti katika kituo cha kazi.

Zikipita siku 14 haujaripoti kituo cha kazi kitarudisha majibu utumishi na nafasi itatangazwa upya au watampa post mwingine.

Nashindwa kujua madhara kwakua ndugu yangu ambaye hakuripoti kituo cha kazi ni kwavile alipata posts 2 so akachagua nyingine na nyingine aliinyamazia.
Mm nashindwa kabisa kwenda kuripoti
 
Back
Top Bottom