Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Umenishawishi mkuu, yaani wanyama ndo walivyo, mfano hata ukitaka kumpiga mbwa hata kama huja fanya any body movement tayari atakusoma macho yako yanaashiria nn hata kama unajifanya mpole ili asigundue lengo lako
 
Mkuu nimekaa sana maporini huko na mambugani kusema na ukweli sijawahi kumwona ila kidoogo kuna mnyama fulani hv anafanana na muhunga au bunuasy!!na kuna mwingine nae anaitwa "inyama"huyu kiswahili chake fasaha cjui !!na huyu inyama kuna imani flani kuwa kama ukibahatika kupata fuvu la kichwa chake ukaweka kwenye mto unaolalia ucku mambo yate wanayokufanyia kichawi unayaona yote ndotoni!!!na huyo muhanga yy anadili na mchwa kwenye vichuguu tuu yaani kichuguu anachimba kama ananawa vile!!!
 
Nimefatilia google huyo mnyama anapatikana America na Southern America!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…