Zoologist wako wapi plse??watupe kingdom,phylum,class,order,family,genus&species ya uyo mnyama?
Ana harufu inayowavutia.Nini kinafanya huyo Mnyama apendwe na Wenzie?
Hata simba anapendwa sana tatizo njaa tu ndio inamfanya aonekane mbaya
Umenishawishi mkuu, yaani wanyama ndo walivyo, mfano hata ukitaka kumpiga mbwa hata kama huja fanya any body movement tayari atakusoma macho yako yanaashiria nn hata kama unajifanya mpole ili asigundue lengo lakoWanyama wanauwezo wa kusoma nafsi ya mnyama mwenzake kasoro binadamu (labda awe ameaquire uwezo fulani wa kipekee/spiritual anointing). Ukiwa mnyenyekevu wa roho na mpole moyoni baada ya kukutanisha macho, mnyama anatambua hilo na anakuwa hana wasiwasi na wewe. Sishangai kwa mnyama Cabybara kuwa rafiki wa wanyama wenzake.
Kweli nimefurahi piaWow! Leo Jinema umetoka nje ya Makapuku! Karibu sana uraiani!
Hata mi nimefurahiKweli nimefurahi pia
Leo kumuona Jimena
hapa jukwaani.
Nimefatilia google huyo mnyama anapatikana America na Southern America!Mkuu nimekaa sana maporini huko na mambugani kusema na ukweli sijawahi kumwona ila kidoogo kuna mnyama fulani hv anafanana na muhunga au bunuasy!!na kuna mwingine nae anaitwa "inyama"huyu kiswahili chake fasaha cjui !!na huyu inyama kuna imani flani kuwa kama ukibahatika kupata fuvu la kichwa chake ukaweka kwenye mto unaolalia ucku mambo yate wanayokufanyia kichawi unayaona yote ndotoni!!!na huyo muhanga yy anadili na mchwa kwenye vichuguu tuu yaani kichuguu anachimba kama ananawa vile!!!
Na Ni kutoka jamii hiyo mkuu!Huyo ni kama Pork. Wengi wanampenda na wachache wanamchukia
usijifiche sanaHata mi nimefurahi