Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Huyu mnyama inavyoonekana ni mpole sana halafu hanaga makuu ndio maana jamaa wanampenda sana maana hana madhara kwa kiumbe yeyoye.
Sema angekuwa muhuni angewapiga miti sana kila aina ya mnyama
 
Wasanii wa Hip Hop
Habari yako mkuu uko vyema kabisa? Turudi kwenye mada, sio kila msani wa hip hop ni muhini. Nimeumia sana kusikia umeukumu neno sababu tu watumiaji ni wasani wa hip hop. Hakuna nyimbo zenye kulenga kuikomboa jamii kwa mafunzo na burudani kama hip hop.. tafuta ngoma za dizasta vina kwanza upate burudini kisha uje
 
Back
Top Bottom