Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Eti kila jiko na sebule Lebanon zina makombora😅😅😅 mashoga bana
Afu kuna mashoga humu wanawamini mashoga wenzao. Hajawahi onyesha hizo silaha alizo piga hata siku moja kwenye majumba alio piga. Au watoto na wanawake na raia wakawaida ndio Missiles 😄
 
Afu kuna mashoga humu wanawamini mashoga webzao. Hajawahi onyesha hizo silaha alizo piga hata siku moja kwenye majumba alio piga. Au watoto na wanawake na raia wakawaida ndio Missiles 😄
Ukishakuwa shoga unakuwa punguani Wanaume wamemuonyesha kama wakitaka kuvunja majengo wanaweza lakini wamesema wazi wanalenga sehemu ambazo zinazopanga mipango ya kuuwa Wapelestina na viongozi wa Hezbollah na Hamas na wametoa orodha kabisa ya walengwa, zile ndege 20 alizokuwa anatamba nazo Netanyahu zimebakia vyuma chakavu😅
 
Ukishakuwa shoga unakuwa punguani Wanaume wamemuonyesha kama wakitaka kuvunja majengo wanaweza lakini wamesema wazi wanalenga sehemu ambazo zinazopanga mipango ya kuuwa Wapelestina na viongozi wa Hezbollah na Hamas na wametoa orodha kabisa ya walengwa, zile ndege 20 alizokuwa anatamba nazo Netanyahu zimebakia vyuma chakavu😅
Kwa hio kakosa F35 zakwenda Iran 😄 Na kambiwa ukigusa Iran kuna Missiles hatujazitumia kwenye fleet zetu ni balaa kuliko hizo za leo.
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.



View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Upuuzi,mashambulizi gani wanatoa taarifa?

Au ni kuzuia ndege za abiria? Na Kwa nini washambulie Kwa vibomu au drones dhaifu ambayo havina madhara yeyote? Stupid zao Iran
 
BREAKING: Mohammad Bagheri, Mkuu wa Wafanyakazi wa Majeshi ya Iran:

"Tulilenga vituo vitatu muhimu vya anga, ikiwa ni pamoja na Ikulu ya Mossad na ile inayohusishwa na mauaji ya Nasrallah. Raia hawakupigwa, lakini shambulio lolote la siku zijazo dhidi ya uhuru wetu litaona miundombinu yao yote muhimu ikipigwa.
Mjulishe malaria
 
Huruma sana huyu babu kajichimbia kaburi lake mwenyewe hawa jamaa ukiwabeep wao hawabeep wanapiga usipopokea wanapiga tena mpaka upokee na ukipokea wanakupigia tena huruma kibabu Ayatolah ndio kinaenda na maji hivyo km utani
yetu macho na masikio.
 
Iran anaonesha sifa ya mwanaume, Makombora kwa mamia yametua Airport, Base za wanajeshi, miundombinu etc.

Angetaka Iran angeyaelekeza yote Nyumba za Wananchi wa kawaida na kuua Maelfu ya Waisrael ila ameonesha uanaume wake, anapigana na Jeshi la Israel na sio wanawake na watoto.

Ila Israel wao wapo busy kuua wanawake, watoto, wazee na watu ambao hawana uhusiano wowote na vita,

See the difference?
Unaandika upuuzi. Yaani magaidi yanajificha nyuma ya wanawake na watoto unategemea nini. ? All the best🇮🇱
 
Jana mlituambia amejeruhiwa vibaya Kwa kombora, Leo mkatuambia amekimbia Israel baada ya kusikia nguruwe kutoka Iran kwahiyo hiyo video anakimbia akiwa wapi wakati Jana alijeruhiwa na yuko.. hivi Huwa mnawasiliana na ubongo kabla ya kuandika😄😄
Tulia dawa ukiingie
 
Upuuzi,mashambulizi gani wanatoa taarifa?

Au ni kuzuia ndege za abiria? Na Kwa nini washambulie Kwa vibomu au drones dhaifu ambayo havina madhara yeyote? Stupid zao Iran
We nani kakwambia wametoa taarifa?
Halafu nani kakwambia hayo makombora dhaifu!?
Kaweke sura wewe na jopo lako la kina kizimkazi halafu muone kama mtaamka kuishabikia CCM tena.
 
Back
Top Bottom