Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,708
- 39,054
As usual uharo uharoAyatollah himself will be eliminated this time. Hatimaye ameingia kwenye target. Hawa jamaa wakikutaka wanakutafutia kisababu kwa ajili ya justification tu. Let the game of chess kati ya Mossad na Ayatollah ianze sasa na akizubaa tu anakwenda kufaudu mabikra 72 na akina Nasrallah sasa hivi!
Wanaukumbi.
ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.
Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.
Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.
View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw