Nenda kokote uendako! Kipimo cha akili na utimamu wa mtu lazima akili na kuthibitisha kwa vitendo kuwa kuna Mungu

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
5,425
15,309
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"

Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
 
Mungu yupo,ni Hila za shetani watu wamkatae Mungu,hata shetani anaamini Mungu yupo.
 
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"

Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
Uzi wako umeuandika kwa makasiriko makubwa sana
 
Kwaiyo wahindi, wachina na wajapan na jamii yingine ambazo hazijui chochote kuhusu biblia hawana akili timam ila wewe ndo unazo?
 
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"

Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
 
Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Mpumbavu atabaki kuwa mpumbavu hata umfanye nini upumbavu wake hauwezi kumtoka.

Mit 27:22
"Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka."
 
Wanajf bhn, kazi kupinga uwepo wa mungu ila kiukweli ni wanafiki flani ivi Mbona kwenye uzi wa Leejay49 mlikuwa mnasema mungu atamsaidia arudi tena akiwa mzima sasa mungu guys ni yupi?
 
Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote yupo.
Uwepo wa MUNGU unajithibitisha wenyewe wala haihitajiki kiumbe mwingine yeyote yule kuthibitisha.

Hata Mbwa wanajua uwepo wa MUNGU. Ni Mwanadamu mpumbavu pekee atakayekataa uwepo wa MUNGU.
 
Sitaki ubishi sana, nitataja logical fallacies tu.

This logical fallacy is called "a priori".

Google "a priori fallacy".

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.

Usiseme tu kila mtu anajua, huo si uthibitisho.
 
Back
Top Bottom