Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 9,936
- 28,665
🐒👇Logo ya timu yenu ina watu wenye rangi ya njano usoni, hiyo ni rangi halisi ya mtu?
🐒👇Logo ya timu yenu ina watu wenye rangi ya njano usoni, hiyo ni rangi halisi ya mtu?
Ni vibwengio kama wale wa kwenye jezi zenu za vibwengo fcUna uhakika kwamba wale ni watu?
Haujui kama Yanga ni nchi inayojitegemea , ukiambiwa Yanga ndio wenye nchi hutaki kusikia ule mwenge wa uhuru origin yake ni kutoka kwa waasisi wa hili Taifa wewe Ng'ombeEmbu jiongeze basi nbc ni benki mbna hamna safe pale au hela?
Ukiiangalia logo ya nbc kwa mtu asiyeitambua anaweza kuhisi kampuni ya utalii
Unaruka ruka sana hapa ila logo si lazima iendane na kampuni mkubwa na ndo imeisha hiyo kama unaifahamu kampuni ya sauli logo ni pikipiki sasa wewe na akili zako utalazimisha sauli ni umoja wa bodaboda
Lijitu linajiita insigne afu anaharibu majina ya watu wa maana
Jiite hata sarpong basi
Nakuuliza tena ule mwenge wenye moto wa kijani na nyie tunauliza moto wa kijani mmetolea wapi?
Wale sio watu wewe ng'ombe, wale ni majiniMbona nembo ya Yanga ina watu wenye uso, miguu na mikono yenye rangi ya NJANO, wewe umewahi kuwaona wapi watu wa rangi ya njano. Kweli manara hakukosea kuwaita hamna akili
Basi umemaliza mkuu, kama yule sio TwigaHata kwenye logo ya NBC lile ni ghost sio twiga, we uliona wapi twiga kama yule?
ila Rage alipatia kuwaita nyie mbumbumbu.Mbona nembo ya Yanga ina watu wenye uso, miguu na mikono yenye rangi ya NJANO, wewe umewahi kuwaona wapi watu wa rangi ya njano. Kweli manara hakukosea kuwaita hamna akili
T shirt na marks ndio za njano hapo 😂Kwani NBC wameanza baada ya kudhamini ligi?
Ulikua wapi kuuliza kabla ya wao kudhamini ligi?
Naona watu wa njano hapo kwenye logo ya utopolo, unaweza kuniambia hao watu ni specie gani na wanatoka galaxy gani?
Ahahahaàa . Only in Tanganyika - burigiJee tembo huyu mwekundu anapatikana wapi?View attachment 1966432
T-shirt za wapi hizo zinazofika mpaka usoni?T shirt na marks ndio za njano hapo 😂
LABDA NBC JANGWANI Lakini NBC Tanzania Twiga Wetu ni huyu hapa na ndiye MTOA FEDHA ZA UDHAMINITangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.
View attachment 1965727
Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
View attachment 1965730
Yupo burigi Chato.Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.
View attachment 1965727
Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
View attachment 1965730
Hivi Umbumbumbu bado hauja kutoka Isha Mashauzi?Na BOT wamempata wapi tembo mwenye rangi nyekunduView attachment 1966434
Wewe choko kwani huyo Twiga ni Twiga kweli au ni logo ya NBC ndiyo yenye rangi nyekundu nyie wenyewe ndiyo mumeanza kutoa hoja za kimalaya as if hiyo logo wameitengeneza juzi. Leteni hoja zenye mashiko msituletee udaku mnaosimuliana kwenye madanguro mkigombea madanga.Hivi Umbumbumbu bado hauja kutoka Isha Mashauzi?
Sasa huyo Tembo ana rangi nyekundu kweli au ndio noti yenye rangi nyekundu.?
Mkimtoa Kila mechi ni M3 zinawahusuWamemtoa wapi! Mbona katika Mbuga zetu hakuna "Red Giraffe"..?
Huyo twiga ndio walianza nae toka benki hii inaanzishwa sioni dababu ya kuwahukumu japi mie ni yangaTangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.
View attachment 1965727
Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
View attachment 1965730
umekosa hoja na hukutegemea kukutana na watu waliokuzid akili ,sasa vaz gan limefunika had uso?Hakuna watu wa njano hapo, Ila mavazi yao ndiyo ya njano na kijani. Hebu tazama vizuri