Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.

Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.

Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.

Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.

Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.

Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)

Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.

Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.

NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Mbona wewe ulieleza uzi ndio inaonekana una matatizo kichwani?
 
Umemaliza au hoja yako tumpuuze. Asante
 
Li Chawa likidhihirisha uchawa wake 100%
 
Siyo baba mzazi bali hawara wa mama yake na kisa ni kwamba mama yake ndie alikua akilifuga zee Hilo zee lilikuwa likimpiga mama yake alichukizwa na kitendo Hicho akamshushia kibondo
 
Yule aliyeimbamama unarudia kilemba naye ana laana ya nani?

Wasanii lao kukufikishia ujumbe, lako chambua jema kwako mengine waachie wenzio.
 
Usanii bila pesa ni stress tu, wenzie wananunua magari makali kila siku yeye kazi kupiga picha na magari ya kuazima.
 
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.

Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.

Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.

Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.

Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.

Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)

Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.

Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.

NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
kwa kulisoma tu bandiko lako akili yako haiwezi kudadavua anachokisema Ney wa mitego, sababa uko kundi la wanafufaika wa mfumo
 
Umezunguka Sana,

Aliyoyaongea yana dalili ya ukweli au Jamaa kafanganya.......!
 
Wewe nawe umepata mgawo wa pesa ya DP word. Wasomi qajinga qajinga wasioweza kujibu hoja za kisheria na badala ya kuataki personalities.
Wewe ndo wa kupuuzwa.
 
Haya vijana wa lumumba, wamezoea kusokotwa, kaamua kutema povu uchwara? huwa hawataki ukweli kabisa, sijuwi nia yao ni nini,?
 
Back
Top Bottom