Huu ni ukweli mtupu.Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.
Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.
Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.
Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.
Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.
Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)
Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.
Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.
NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Uhuru una mipaka yake.Hivi unafahamu maana ya maneno uhuru wa kuzungumza na kutoa maoni?
Pole kwa kuambiwa ukweli na mleta uzi.Pole kwa maumivu
Tayari nyimbo yake imepigwa ban,mtaumia sana.Ukweli unauma, machawa mnapata shida
Anatumika,hata wewe ukimpa chochote atakuimbia chochote utakacho.Huyu jamaa simuelewi kabisa aliimba nyimbo za kumsagia JPM eti leo anajidai anamkumbuka.
Wewe utakuwa umekutana na waalimu wajanja,wanakupigs bila kujijua.Shule ni bure,hakuna malipo.Hujatumia akili kuchambua wimbo wa Nney. Umetumia hisia na umechambua kwa hasira na matusi kuliko Ney mwenyewe. Kwa mchango huu Ney amekuzidi akili mbali sana. Nani kakwambia elimu ni bure?
Mlinzi 5,000/= kwa mwezi kwa mwaka 60,000/= Limu 2 = 30,000/=. Walimu wa kujitolea 10,000 kwa mwezi kwa mwaka 120,000/=. Kuchapa mitihani 6,000/= kwa muhula×4 = 24,000. Chakula shuleni, michango ya Mwenge, Michango ya Mitihani ya kila wkend.
Kwa kifupi kwa mwaka 200,000 mpaka 400,000 inakutoka. Tangu JPM aondoke hii Michango ipo nasema ipoooo na lazima mtoto atoe Je? Hapo kuna elimu bure?
MUngekuwa karibu nakunasa vibao. Yaaani mijitu inaiba mali za Nchi kwa msemo wa Kulamba asali halafu taaahira moja linazuia wapuliza filimbi akina Nney? Shiiiit
Mbona mimi naona kuwa wewe ndo UME LAANIWA.Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya baadhi ya masuala ambayo kiuhalisia Serikali ilishayafanyika kazi na mengine inaendelea kuyafanyia kazi.
Nimegundua kuwa mambo makuu yanayomfanya msanii huyu kuwa na tabia hiyo ya makusudi kwani siyo mara ya kwanza kwa msanii huyo kuandika nyimbo za namna hii.
Kwanza, Nay wa Mitego siyo msanii, bali ni mtu aliyevamia fani hiyo kutoka katika magenge ya uhalifu na uchoraa uliofanya kuwekwa katika vituo vya Polisi mara kwa mara na kuishi na kulala mitaani katika Jiji la Dar es salaam hususan eneo la Feri miaka kadhaa iliyopita. Jambo hili linamfanya kukosa ubunifu katika kazi zake za muziki na kujikita kuimba mambo ya hovyo.
Pili, Ney ni mtu ambaye hana radhi ya baba yake wa kufikia aliyemlea tangu utotoni, kwani alishawahi kumpiga kipigo kibaya baba yake hiyo kisa tu kuingilia masuala ya ndani baina ya mama yake na baba yake jambo ambalo kimsingi mtoto hapaswi kuyaingilia. Hii laana inamsubua Nay wa Mitego mpaka kesho jambo lilomfanya kichwa kutokuwa sawa hajitambui anachowaza katika maisha yake ni shari tu.
Tatu, huyu ni miongoni mwa wasanii wanaotumika na Wanaharakati, Wanasiasa wa upinzani na Baadhi ya Taasisi katika kutimiza matakwa yao ya Kisiasa, Hii ni kutokana na makundi hayo kuazimia wazi wazi kuwatumia wasanii kuharibu kwa makusudi taswira ya Serikali ili waweze kujipatia fedha.
Nay wa Mitego ni limbukeni na mwenye mihemko ya kisiasa, kwani wapo wasanii wenye heshima zao ambao wana itikadi tofauti za kisiasa lakini wamekuwa wakifanya muziki wao kwa staha na kuzingatia maadili, mfano wa kuigwa ni Legendary Prof. Jay (JOSEPH HAULE.)
Mtu wenye akili timamu hawezi kubeza mpango wa Serikali wa kutoa elimu bila malipo kuanzia Shule ya Msingi mpaka Kidato cha Sita, jambo ambalo kimsingi limekuwa msaada na linapongezwa na wazazi na walezi wa wanafunzi kila kona ya Nchi.
Nay wa Mitego akumbuke kuwa watoto wake wanasomeshwa bure kwenye Shule za Serikali hii (majina tunayaweka kapuni), Hata yeye angekuwa mwanafunzi katika kipindi cha sasa angesoma Shule na kupata Elimu ya uhakika bila kumsumbua Mama yake, pia asingeweza kuishi mitaani na kuwa chokaraa kibaka na mwizi, na huenda angeweza kuwa na kazi nyingine nzuri kuliko kutegemea kukoroma na mashairi uchwara kama mwehu.
NAY WA MITEGO NI WA KUUPUZWA
Wivu utakuua.Huyo mama sio mwenzako,amefijia level ya urais,wewe hata uwenyekiti wa mtaa huna.Mimi nakuupuza wewe mleta mada kwakua wimbo nilikua sijausikiliza ngoja niutafute niusikilize.
Mnatakiwa kujifunza kuwa ofisi ya urais haina uhusiano na 'umama" , akina mama tunawaheshimu lakini hata hao kina mama pia vichaa wapo.
Rais ni public figure kama anataka asikosolewe aende kucheza na wajukuu zake huko kwao Unguja mnamlemaza sana manvyotanguliza hilo neno mama as if yupo nyumbani kwao Unguja.
Mwenye laana ya wazazi hawezi kufikiq level ya urais wala uwaziri.Ukiona mtu kafikia huko unuwe ana baraka za wazazi.Hata nape na boss wake wote wana laana za wazazi
Endelea kutomuelewa.Ney mm sijawai mwelewa kabisa
Hakuna ukweli wowote,angejiimba yeye mwenyewe,kwa kukosa hata uenyikiti wa mtaa.Unamuimba mtu mwenye baraka za wazazi wake,mpaka kufikia level ya urais su uwaziri,wakati yeye muimbaji hata uwenyekiti wa mtaa,hana.Pole sana chawa wa mama. Alichokiimba ni kweli tupu. Kama wewe ni mkweli sema hata kimoja alichoimba ambocho sio cha kweli
Mtapata ugonjwa wa moyo bure.Aliyepewa Mungu,kapewa,kama wewe hukupata,jiulize kwa nini sikupata.Angetoa wimbo wa kusifia kuwa mama anaupiga mwingi mnegesema ana baraka za wazazi wake.
Hebu jifunzeni kukubali kuwa mitazamo inatofautiana na si kila mtu anampenda na kumkubali mama yenu.
Mtaumia bure,aliyekupita kakupita tu.Nilisema hapa baada ya thread ya wimbo wa Ney kua tusubir povu la foma gold barid toka kwa uvccm!!
Utaumia bure,kwa kupoteza wakqti wako.Walio na vyeo,ni baraka za wazazi wao,na kutokuwa wavivu.Ukiwa mvivu,utalalamika na kuoinga kila kitu.Umejitahidi kuandika japo na wewe unamihemko kama huyo uliesema anamihemko.
Napinga maneno yakobkwenye maandishi haya isipokuwa ya ELIMU BULE PEKEE.
Kuhusu usanii wa neyi wewe mwenyewe umeanza kwa kusema sio msanii lkn baadae ukasema ni msanii, soma maandishi yako mwenyewe.
Kuhusu kutumika na watu, wanasiasa wa upinzani na makundi tofauti sio ukweli hata kidogo, na naomba hii kasumba ikome. Kwani ney wa mitego sio mtanzania? Kwani yanayoendelea hayasikii na kuyaona? Alichosema ni mtazamo wake au nikunukuu ni ujinga wake.
Kuhusu malezi na eneo alilotoka hapo na wewe wa kukemewa kwa ubaguzi wa hali na kung'ang'ania historia za wengine.
Mfano. Diamond platinum alilelewa kwenye gongo na ujanja wa kuuza mitumba, Marehemu kanumba the same story na wao unawasemaje?
Je wanamaana kwak kwa sababu hawasemi serikali tu au wanakufurahisha na nini?
Profesa J alituhumiwa kwa ulevi uliokithiri miaka ya nyuma na ujue ulevi sio suala la kuigwa na sasa unamsifia kwa kuwa hajaisema tu serikali.
Tambua kariba za watu utajua tunatofautia kama kanisa na baa.
Tunatofautiana kila mmoja na tabia yake na hivyo tunapaswa kuchukuliana na kuvumiliana.
Awamu ya nne ya serikali yetu ilisemwa sana lkn maandiko kama haya hayakuwa kama leo.
Tujifunze kuvimiliana
Kama kundi lako limepigwa na ukaumia vumilia na wewe tafuta namna ya kuliumiza kundi hilo nao wavumilie.
Anaweleweka na wavivu wenzake,wasiotaka kufanyakazi kama wewe.Inaitajika akili kubwa sana kumwelewa. Pole kwa kua na akili ndogo
Acheni uvivu fanyeni kazi.Mkuu na baridi hii moshi wa bange umeganda kwenye roof ya cranium ya mleta uzi![]()