Are you serious? Haya huyo wa kijijini kakutana na wavulana wangapi shambani, akienda sokoni, waliompa lift ya baiskeli, kwenye ngoma etc? Kama kutokwenda shule ndo guarantee ya ndoa bora, basi wewe mpendwa kaoe ambaye hajagusa shule and watoto zako usiwapeleke shule wasije wakakosa waume hapo baadaye khaaaaaa.bujaganoni;
Sikunyimi kipenda roho. ila, jiulize, tangu kamelijua jiji at the age of 12, mpaka leo 21 amekutana na wangapi?? Vijana wenzake wakifanya naye home work, waalimu wake wakimtia adabu kwa kuchelewa shule, bodaboda wakimnunulia chips viazi, yaani hiyo listi ni ndeefu. Achana na wasomi ndugu, nenda kijiji ndiko kwenye wife materials
Hahaha unapenda magap eeh? BTW umemissikaMbona hiyo range nzuri kabisa mi naipenda kama nini
naomba namba yake mimiHabari ndugu zanguni...
Nimeamua kuwashirikisha hili, nina kabinti kana 21 yrs saiv kapo form 6, nimekapenda sana na nahisi nitakaoa, lakini nakazid sana, nakazid 8 years... Itakuwa couple nzuri kweli maana process za ndoa ziko on the way.. nasubri kamalize shule hapa then process ziendelee... sio mdogo kwel mazee
Nakapenda sana lakini, and it seems pia kananipenda sana...
ebu nipeni ushauri chidogo
Hahaha,dah mkuu umefanya nkacheka sana ujueMbona umri wa kawaida Mengi yeye atasemaje sasa.
Mkuu mwanao wakike utasomesha kweli?bujaganoni;
Sikunyimi kipenda roho. ila, jiulize, tangu kamelijua jiji at the age of 12, mpaka leo 21 amekutana na wangapi?? Vijana wenzake wakifanya naye home work, waalimu wake wakimtia adabu kwa kuchelewa shule, bodaboda wakimnunulia chips viazi, yaani hiyo listi ni ndeefu. Achana na wasomi ndugu, nenda kijiji ndiko kwenye wife materials
Huyu mwanae wa kike atapata shida sana....aidha asipelekwe shule asubirie mahari au asomeshe akae nae mwenyewe nyumbani ale mshahara wa binti yake....Are you serious? Haya huyo wa kijijini kakutana na wavulana wangapi shambani, akienda sokoni, waliompa lift ya baiskeli, kwenye ngoma etc? Kama kutokwenda shule ndo guarantee ya ndoa bora, basi wewe mpendwa kaoe ambaye hajagusa shule and watoto zako usiwapeleke shule wasije wakakosa waume hapo baadaye khaaaaaa.
Mmmh kuna watoto wana kazi balaa. Kwa hii mentality sijuiiiiMkuu mwanao wakike utasomesha kweli?
Huyu mwanae wa kike atapata shida sana....aidha asipelekwe shule asubirie mahari au asomeshe akae nae mwenyewe nyumbani ale mshahara wa binti yake....
amri ya 11 inasema usimwonee huruma mtu ambae hujamuumba.
SponsorAti wasema miaka 8 umemzidi sana hadi una hofu?
Binafsi niko katika mahusiano na mwanaume aliyenizidi kwa miaka 10.
Na niko happy sana sababu ananijali,ananiongoza na kubwa zaidi ananielewa.
Sipendi kabisa kudate na vijana wenzangu walioko katika 20's,ni kupotezeana muda tu.