Tonyblair
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 424
- 413
Age is just a number......& Love doesn't ask why!!!!Habari ndugu zanguni,
Nimeamua kuwashirikisha hili, nina binti ana 21 yrs saivi yupo form 6, nimempenda sana na nahisi nitamuoa, lakini namzidi sana, namzidi 8 years.
Itakuwa couple nzuri kweli maana process za ndoa ziko on the way, nasubiri amalize shule hapa then process ziendelee, sio mdogo kweli mazee.
Nampenda sana lakini, and it seems pia ananipenda sana.
Ebu nipeni ushauri kidogo