Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

Pambana mkuu,kila kitu kinawezekana hata kama unafanya kazi ya aina gani,
Weka lengo moja fanyia kazi
Bro hapa duniani sio kila mtu atamiliki nyumba sawa. Mie najinua i live under 3 dollars a day. Where do i get the guts to entertain such thots of building a house.

Kama simple diet tuu ya ugali maharage mpaka kichwa kipasuke hiyo nyumba nitajenga na nini?
 
Ku

kakata tamaa hivi ni makosa makubwa,
Kuna msemo unasema "changamoto yako ukimweleza mtu na yeye akakupa yake unaweza kujiona una nafuu kubwa sana"
Leo na kesho ni siku tofauti sana endelea kukomaa
 
Ku

kakata tamaa hivi ni makosa makubwa,
Kuna msemo unasema "changamoto yako ukimweleza mtu na yeye akakupa yake unaweza kujiona una nafuu kubwa sana"
Leo na kesho ni siku tofauti sana endelea kukomaa
Hamnaha kitu kama hicho bro.
Wacha nikae hapa banda la uwani kwa mama wa kambo huku natamani tako lake
 
Kwanza unajengea maeneo yenye milima ama tambarare..??
Maeneo hayo yana maji mengi ama pakavu..??
Unajengea msingi wa mawe ama tofali..??
Unataka kujenga mkoa gani...??
Jibu kwanza hayo maswali kicha nikufanyie hesabu ya makadirio bure hapahapa, achana na mambo ya kuitwa inbox...😶
 
View attachment 3190361

Nyumba ya 5 bedrooms

Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store

Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Hayo mangazingazi hapo mbele inatakiwa kuwe na sehemu iwe na slope isiyo na ngazi ili nyumba iwe wheelchair accessible na ukitaka kuingiza kitu cha kusukuma uweze.
 
Kwanza unajengea maeneo yenye milima ama tambarare..??
Maeneo hayo yana maji mengi ama pakavu..??
Unajengea msingi wa mawe ama tofali..??
Unataka kujenga mkoa gani...??
Jibu kwanza hayo maswali kicha nikufanyie hesabu ya makadirio bure hapahapa, achana na mambo ya kuitwa inbox...😶
Ndiyo maana nikamwambie akutafute
 
Back
Top Bottom